Changamoto za uke wenza

Atanifanyaje.

Ngoja kwanza Zesh amekuja usije ukaniharibia bureee
HahahahHH nimekuja hapa, atuachie sunna zetu huyu, Kuna watu Wana amani sana kwenye maisha hayo hayo..... Sasa kama aliyeolewa hajasoma dini unategemea kutakuwa na amani.... Lile jambo linahitaji imani ya nguvu sio hawa wacheza vigodoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ulivyokuja.

Watuache wenyewe tumeridhia kuoana hata wanne na wengine tunaishi nyumba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…