Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Atanifanyaje.Na mwenye tako naye mjanja unadhani atakuacha urudi kirahisi rahisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza Zesh amekuja usije ukaniharibia bureee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atanifanyaje.Na mwenye tako naye mjanja unadhani atakuacha urudi kirahisi rahisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mupenzi???Kwanza ujue Kuna dini inaruhusu ndoa za wake wengi na ni sunna so usitake wafate mawazo yako wakati kitabu Chao cha muongozo wa maisha yao kimewaruhusu..... Babako alivamia gumegume basi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahHH nimekuja hapa, atuachie sunna zetu huyu, Kuna watu Wana amani sana kwenye maisha hayo hayo..... Sasa kama aliyeolewa hajasoma dini unategemea kutakuwa na amani.... Lile jambo linahitaji imani ya nguvu sio hawa wacheza vigodoro
Eeeeeee tuache wenyewe tupendane
hapana wanaume mnapenda kuchepuka, ni raha, kuoa yale mambo ya zamu na kuhudumia familia ndo mnaona kaziHii ni hoja ndefu sana na inataka umakini. Sio kukurupuka tu mkuu
Bora ulivyokuja.HahahahHH nimekuja hapa, atuachie sunna zetu huyu, Kuna watu Wana amani sana kwenye maisha hayo hayo..... Sasa kama aliyeolewa hajasoma dini unategemea kutakuwa na amani.... Lile jambo linahitaji imani ya nguvu sio hawa wacheza vigodoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Naleta soon mupenzi, nshamaliza kukuchunguza na kila kitu kiko poa. Dedication! Unanifaa by belle 9
Hapana mkuu!hapana wanaume mnapenda kuchepuka, ni raha, kuoa yale mambo ya zamu na kuhudumia familia ndo mnaona kazi
Eeeh kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora ulivyokuja.
Watuache wenyewe tumeridhia kuoana hata wanne na wengine tunaishi nyumba moja
Hahahahhahahahaha hahaahahah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] dahNaleta soon mupenzi, nshamaliza kukuchunguza na kila kitu kiko poa. Dedication! Unanifaa by belle 9
Aisee kwani mimi nimewakataza basi [emoji16][emoji16][emoji16]Eeeeeee tuache wenyewe tupendane
HahahahaahhahahahaHahahahhahahahaha hahaahahah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako mupenzi ya rafikiEeeh kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa tunachunguzana
Mmemaliza sasa? Hadi unafikisha arobaini utakuwa umeshatimiza sunna tayari [emoji3][emoji3][emoji3]Tulikuwa tunachunguzana
Sichepuki mimindo usichepuke
Arobaini ya nini??Mmemaliza sasa? Hadi unafikisha arobaini utakuwa umeshatimiza sunna tayari [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app