Changamoto za uke wenza

Dah mkuu nimekupata sana tena sana .

Na nimejifunza mengi hapo ,kutoka kwako ,
mimi katika maisha yangu nili apa sitokuja gombania mwanamke,hata wandoa ,maana hawa viumbe wallah hawana mdhamana fanya utavyofanya akiamuwa kufanya lake ,hutomzua kabisa .
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu, kama mtu ana tabia hiyo hawezi kuacha ata akiolewa peke yake. Kwasababu kabla hujaketewa bi Mdogo utakua umeshashirikishwa kwa mwanamke mwenye staha hawez kufanya hivyo lakini kama uliolewa mrad na wewe uonekane umeolewa hayo ndo matokeo yake
 
ilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
 
Wanaume huwa mnajitutumua tu, ila ukweli ni kwamba hili suala hamliwezi basi tu kuiga nya ya tembo.
huhuhu hahaha hihihi hohoho

kumbeeee inabidi tujifanyie usahili mara mbili mbili je tunaqualify ? katika hili...

mimi naonelea kuwepo na vigezo maalumu vya mtu kuongeza jiko la pili
usiwe tu kiholela holela[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
we unataka wake wengi ubadili badili flavor, ila unataka mkeo abaki na hiyo hiyo ya kwako...acha ubinafsi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

kwahiyo na ww wataka kubadilisha fleva?

basi tukutane kwenye team mabadiliko
 
huhuhu hahaha hihihi hohoho

kumbeeee inabidi tujifanyie usahili mara mbili mbili je tunaqualify ? katika hili...

mimi naonelea kuwepo na vigezo maalumu vya mtu kuongeza jiko la pili
usiwe tu kiholela holela[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.
Kumbuka hapa kigezo ni zaidi ya kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
 
maneno kuntu kabisaaaa
 
ilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
Dah mkuu mchango wako una uzito sana kwa wenye kuelewa nafkiri watakuwa wamekuelewa ,kinyume na hapo basi ubishi ni Hulka yao
 
Ubinafsi mbaya sana huu, kama wanataka kubadili flavour basi wakubali tu kuwa hata wanawake wanichoka flavour moja.
#siomimininature#
Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiii
 
Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.
Kumbuka hapa kigezo ni zaidi ya kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Ni sawa kabisa na ndomana dini ikasema kwa mwenye uwezo ,

Inamana uwezo wa kuwatimizia haja za mwili ,na mavazi na matumizi,

ila hiki kipengele kimekosa usimamizi na ndomana imefika mahali ndoa za mitala zimekuwa mwiba ...

wito wangu kwa viongozi wa dini (kiislam) waliangalie hili kwa umakini .
maana kwa sasa mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha kauzu anaowa mke wa pili. wakati nguvu za kiume ni ndogo hata uyo mmoja hamridhishiii
 
Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiii
Yaani kama ambavyo huwa mnaihubiri haki sawa likija kwenye suala la pesa, mtusaidie kusambaza na ujumbe huu.
'Say no kwa flavour moja tu' ili twende sawa.
 
Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.
Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
 
Si walijifanya kushindana na Mungu sasa wanaumbuka, acha wajitutumue tu. Ila ukisikia unasaidiwa kuwa mpoleee tena muheshimu mume mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…