Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Wewe umekosea sana kuwashtua, huwa wanafikiri wale wanawake husubiria zamu tu thubutu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiwe na dhana potofu si kila stor inayoletwa umu ni yakutunga ,
kwani kipi cha ajabu unachokiona hapo hakiwezi kutokea kwenye maisha halisi?
Jaribu kuishi mazingira tofauti ndo utajua mtaani kuna mambo.
Shida ni moja mkuu ,maumbile ya mwanamke hayaruhusu kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja wanaforce tu mkuu,Kubali tu kuchapiwa mkuu
Maana hata mai waifu wako pia nyama moja inamchosha
Hapo inabidi uwe mpole tu [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji85]Wanaenda kufarijiwa......... kuoetipetiwa na kupata maujuzi mapya
Hahaha hawa wako salam kabisa yaani wakisafiri wakirudi wanawakuta wake zao kama bikira maria....Nyie hamchapiwi...
Mkuu unajua mambo yanaenda kwa kubadilika,Sasa mwanamke kama huyo ndio tunasema hana maadili. Mana kumtaarifu mkeo muda unaorudi ni jambo jema tu, pengine ukifika home unakuta full mahanjumati umeandliwa na masurprise. Kwa mke ambae ana maadili hasa, na anaejielewa hawezi kuchepuka hata kama utakaa mwez hujarudi. Haya yote ni matokeo ya ugrilfriend na uboyfriend, vijana wakiwa na mambo izi ndoa zao hazitulii. Ndoa ni kuaminiana, lakini amani lazima itoweke tu ikiwa mwenzako umempata kwa njia za haramu. Mfano mkeo mwanzo alikuwa na boyfriend wake, na wewe ukijua ukaenda kumtongoza akakubalia, akamuachia bf wake akaja kwako, we unafikiria hawezi kukuacha na wewe akenda kwa mwengine? Au kabla ya kuoana mlifanya zinaa, na kuna njia mlikuwa mnatumia kukutana kisiri, mwanamke kama huyu tayari wewe mwenyeo ushamfundisha jinsi gani agegedwe kisiri tena asigegedwe kama ww hupo?
Ishu kuu hapa ni MAADILI ya MME na MKE ndio yatakyotunza ndoa. Sio kujua ratiba za mwenza, wala sio dushe la foleni. kama haitegemei maadili, basi pole sana madereva wanaokwama congo, mapilot na mabaharia mana kama concept yako ni kuwa wanagongewa tu.
Hahaha hawa hawachipiwi bwana acha kumtisha mkuu , Hawa huwa wanaangaliziwa familia zao wawapo mbali [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]madereva wa magari si ndo mnaongoza kwa nyumba ndogo kila mkoa? hahahaha acha mchapiwe tu.
Dah mkuu umenina jambo la msingi sana hapo .Mbona wapo wenzenu wanaishi na mume mmoja wao wako wanne na hakuna anaechepuka? na wanaishi kwa furaha tu. Mapenzi hayaishii kwa mmoja tu ukiwa unatimiza majukumu yako katika ndoa kwa mumeo. mapenzi yanaanza kuisha pale unapojenga dharau kwa mumeo. wanawake wa siku izi bana.... eti na yeye akatafute kafaraja.... yaani akili zenu zimekuwa kingonongono tu. Ndo maana mtaendelea kutumiwa vizuri....mkiona fahari eti...
KabisaaaaaUkiwa umeolewa kwa lengo la kujenga maisha na kujenga familia, basi hutoona sababu ya kuchepuka. Ila ukiwa umeolewa kisa mgegedo, basi utachepuka tu hata kama mumeo hana wa pili... mana umefata mapenzi ya mgegedo..... Tunaona humu mada watu wanalalamika wake/wachumba zao wanachepuka, na mtu hajaongeza mke. mwisho juzi nimesoma story moja jamaa mkewe kagegedwa na ndugu yake..... Hii yote inaonesha kuchepuka ni Ukahaba......
Mkuu Hatugombani ,lengo la kuleta hii mada ni kuwekana sawa ,Haya mkuu
Si ndoo kuchepuka huko sasa? Maana mwili wake nae unahitaji sawa na wako,, wee unaonaje,,,,na ukizingatia uwezo wa wanaume sikuhizi,,, mmoja tu kumtuliza kazii,,,kwa utaratibu upi mkuu??? naye awe na wawili
Uyaratibu uouokwa utaratibu upi mkuu??? naye awe na wawili
Mkuu Hatugombani ,lengo la kuleta hii mada ni kuwekana sawa ,
Unajua kuchapiwa kunauma sana mkuu asikwambie mtu,mimi binafsi nikiona mwanaume mwenzangu anachapiwa huwa naumia yaan kama ndo mimi ,na nimejaribu kuchunguza kuona kwanini wengi wanachapiwa ,
Ni kwa sababu huwa tunajisahau na kuwaamini hao watoto wa kike ,kwa zile bashasha zao wanapotuona na mapokezi ,
Lakini nyuma ya hapo wanasumu kali zaidi ya nyoka ,
Uyu dada nilo Hadithia hapo ,Nipo mtaa nae mmoja nyumba yangu na yake zinapaka karibu ,kwa hiyo ,mambo anayofanya usiku wakati mwingine tunayaona na kuyaskia kwa ukaribu tulionao.
Na kwa vile tumezoeana sana ndomana nikajaribu kumdodosa ,kujua anakosa nini,
Na mumewe pia ni sahibu wangu sana na huwa tuna maskani yetu tunapenda kukutana baada ya mihangaiko ya hapa na pale,ni mtu wa makamo,na huwa akikaa anajisifu kuwa anamridhisha mke ,maana yeye ni mtumizi mzuri wa Dawa ya kikongo,
Sasa nikawa najiuliza kama anaridhishwa sasa kipi kinamfanya ahahe ,Ndo nilipo pata ujasiri wa kumfata na kumdadisi ndo nilipokutana na jibu hilo
Ndivyo mnavyojidanganya?Shida ni moja mkuu ,maumbile ya mwanamke hayaruhusu kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja wanaforce tu mkuu,
Hahahaa au na ww ndo wale wale ?Ndivyo mnavyojidanganya?
Wakati wenzenu wanawapanga kama nyanya kwenye tenga
Wanajitutumua tu ila ukweli ni kuwa hawawezi.Kwani wanapooa wake wengi wanategemea nini?
Maisha yenyewe ya sasa hivi wanaume wenye nguvu ni wa kuhesabu ikiwa mwanamke mmoja mtu anashindwa kumridhisha unadhani ukiwa na zaidi ya mmoja nini kitatokea.