Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

LadyAj😛unguza jazba kwanza twende taratibu ,hapa tupo kwenye kuangalia changamoto za ndoa za mitala na makosa yapo wapiii,

Kuowa mke zaidi ya mmoja ni jambo ambalo Dini imeruhusu kabisa pasina shaka ,ila pia Ikaweka taratibu ambazo ukikidhi vigezo ,basi Ruksa kuowa mke wa pili.

Sasa wengi wamejikuta wanaowa mke zaidi ya mmoja ila uwezo hawana ,na uwezo nnaouzungumzia hapa ni ule wa kuwatosheleza ki mwili na hapa ndipo matatizo yalipoanzia .

Tukija katika swala lako kwamba Sunnah ipo hii tu, hapana sunnah ziko nyingi sana na ambazo zote tunapaswa kushikamana nazo kama yalivyokuja katika mafundisho,bila kubagua hiki kinkupendeza unafanya ,kile hakikupendezi ukaacha ...

Hapana hili si sawa yote tunatakiwa tuyafate na kuyatekeleza kwa kadri tuwezavyo
Wengi wa wanaume walio oa mitara wanapata dhambi tu kwa M/Mungu,maana moja ya masharti ya dini ni kufanya usawa wa kila kitu kwa wake zako jambo ambalo ni gumu, ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kutupa usawa binaadam wote. Sasa jiulize kwa mke mkubwa ukipiga bao moja tu uko hooi wakati kwa mke mdogo pengine unaweza kwenda hata ma 2 ma 3 , je hapo pana usawa? Je huoni hapo huyo mke mkubwa atapata sababu ya kuchepuka na kumsababishia dhambi kwa kumfuga pasi na chakula cha ndoa? Wanaume mji tathmini kabla hamjakimbilia ndoa za mke zaidi ya mmoja
 
Ukioa mwanamke Bikra unaafadhali kidogo kuliko kuoa Jianamke lililotembea na wanaume wengi.

Kama vile alivyokuwa akiogopa kutolewa bikra ndivyo atakavyoogopa kuchepuka. Na Kama atachepuka basi itamchukua muda kushawishiwa au kujishawishi kutoka nje.

Ndio maana bado ninamitazamo ya kizamani. Watu wazamani pamoja na kutokuwa na elimu ya darasani lakini walikuwa nondo kwenye maswala ya kijamii.

Siku hizi unakuta MTU anadigrii hata tatu lakini hajui namna ya kumridhisha mwanamke kitandani. Hajui namna ya kumfanya mwanamke akuheshimu.

Mwanamke asipokuheshimu hayo ndio madhara yake. Na heshima huletwa na mambo mengi ikiwamo shughuli kitandani.
Fikra finyu ambazo sikuwahi kufikiri kama itatolewa na Mwanaume Shababi
 
Huo ndio ukweli LadyAJ.

Haijalishi nani anauongea au nani ataukubali.

Bikra ni muhimu Sana katika mapenzi. Hata ukipata mtoto wa kike jaribu kumuusia habari hizi, kuna raha kuwa muasisi wa ngono kwa mwanamke na ukamuoa hiyo hupunguza changamoto.
 
Hao wanawake woote unaowaona wana wanaume wengi walikua na bikra zao! Usichokijua kwa wanawake wakipewa ufahamu tu hupeperuka kama karatasi, labda huyo bikra wako umgeuze jiwe asisikie asisogee wala asione! Hapo ntakubariana na wewe otherwise atakapoona hata kisses za kwenye video tu na akagundua kwamba humfanyii basi ataanza kujisogeza na kujichombeza hata kwa muuza genge
 
Ndio maana ya bikra mkuu.

Mwanamke huhitaji mtu mgunduzi wa mambo aliyokuwa hayajui, mambo aliyokuwa hajawahi kufanyiwa.

Shida ni kuwa wenye bahati ya kutoa bikra za wanawake huwaumiza kwa kutowapa mapenzi ya dhati.

Mwanamke Kama anakupenda alafu umemtoa bikra na wewe unamfanyia yaliyomema ya kumridhisha wallah vile anaweza kumkana hata Mama yake.

Ni Kama umemloga vile.

Nina uzoefu na ninachokieleza hapa. Ninamchumba wangu hapa anasoma chuo Fulani cha usimamizi wa fedha. Huyu mtoto nilikata utepe mwenyewe tokea akiwa mwaka wa kwanza. Na sasa yupo watatu.

Dogo anapenda Kama chizi, haambiwi hasikii. Na Mimi kwa vile najua thamani ya kupendwa na mtoto wa kike huwa naonyesha kumjali japo kiuwezo wa kiuchumi simfikii.

Bikra ni muhimu Sana mkuu, wanaume wenye akili huzingatia hilo. Ila sio kwamba wasio na bikra ni wabaya hapana sema wameumizwa na wanaume wakora hivyo ile tabia ya upendo kwao imeisha ukilinganisha na mwanamke akupendaye ambaye umemtoa bikra.

Ikumbukwe kuwa hakuna mwanamke anayependa kuchepuka. Wanawake huogopa Sana kutoka nje ya ndoa zao. Sema kuna wakati inafikia mazingira yanawalazimisha kufanya hivyo huku wengine wakiongozwa na tamaa za kishetani.
 
Acha ubishi, hata baba yako hakumkuta mama yako na bikra lakini wamedumu mpaka leo! Hayo mavitu unayong'ang'ania hayana msaada wowote kwenye ndoa, ndoa ni zaidi ya unavyovikuta,ndoa ni vile unavyojifunza mkiwa ndani + kuchukuliana na kusameheana! Sitaki tubishane ingelikua ndoa bora ni ile ya wenye Bikira basi wanaume wangekwenda kuchumbia vigoli
 
Sio ubishi Mkuu.

Sema huelewi ninachokizungumzia.
Hapa simzungumzii Baba wala Mama.
Ninachosema Suala la kuchepuka linauhusiano mkubwa na bikra.

Masuala ya kukaa kwa muda kwenye ndoa ni uvumilivu na kusameheana Lakini kuchepuka husababishwa na mambo mengi lakini moja wapo ni hilo.

Bikra ni muhimu mkuu, hata Kama nitaoa mke ambaye sijamkuta bikra lakini mwanamke ulimkuta bikra ni bora kuliko uliyemkuta Hana.
 
Kwaiyo bikra ndio kielelezo cha tabia?
Kuchepuka ni tabia ya mtu ambayo inatokana na ushawishi hata huyo uliyemkuta bikra kama ana Arabia akipata ushawishi tu atachepuka!
Kama ndoa ni uvumilivu na kusamehena iweje bikra ndio iwe sababu ya mtu kuto kuchepuka? Unataka kuniambia wanawake woote wanaochepuka hawakukutwa bikra? Huko ni kujidanganya, kabla hujaoa omba sana Mungu akupe mke mtulivu na ukubali mapungufu utayomkuta nayo
 
Asilimia kubwa ya wanandoa huchepuka na ma-exlover wao. Wachache hutafuta wapenzi wapya.

Au hujui wanaume tunaogopa wake za watu isipokuwa wale tuliowahi kuwamiliki mkuu.

Angalia ndoa nyingi, wanandoa wengi hawaanzishi uhusiano mpya ili wachepuke bali hutembea na wanaume wao wa zamani.

Hii ni kumaanisha wanawake wengi (sio wote) ambao walikuwa kwenye mahusiano zamani huchepuka kwa kuwarudia ma ex wao. Tofauti na huyu aliyebikra ambaye atahitaji jitihada kubwa kuchepuka.

Bado hujaelewa kinachoongelewa tuu mkuu.
Fikiria vizuri pengine utapata ninachokieleza.

Sipo kwaajili ya kuponda wasio na bikra bali naelezea umuhimu wa mwanamke bikra katika ndoa
 
Ukioa mwanamke Bikra unaafadhali kidogo kuliko kuoa Jianamke lililotembea na wanaume wengi.

Kama vile alivyokuwa akiogopa kutolewa bikra ndivyo atakavyoogopa kuchepuka. Na Kama atachepuka basi itamchukua muda kushawishiwa au kujishawishi kutoka nje.

Ndio maana bado ninamitazamo ya kizamani. Watu wazamani pamoja na kutokuwa na elimu ya darasani lakini walikuwa nondo kwenye maswala ya kijamii.

Siku hizi unakuta MTU anadigrii hata tatu lakini hajui namna ya kumridhisha mwanamke kitandani. Hajui namna ya kumfanya mwanamke akuheshimu.

Mwanamke asipokuheshimu hayo ndio madhara yake. Na heshima huletwa na mambo mengi ikiwamo shughuli kitandani.
Dah umezungumza kwa sauti ya kiume
 
Wengi wa wanaume walio oa mitara wanapata dhambi tu kwa M/Mungu,maana moja ya masharti ya dini ni kufanya usawa wa kila kitu kwa wake zako jambo ambalo ni gumu, ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kutupa usawa binaadam wote. Sasa jiulize kwa mke mkubwa ukipiga bao moja tu uko hooi wakati kwa mke mdogo pengine unaweza kwenda hata ma 2 ma 3 , je hapo pana usawa? Je huoni hapo huyo mke mkubwa atapata sababu ya kuchepuka na kumsababishia dhambi kwa kumfuga pasi na chakula cha ndoa? Wanaume mji tathmini kabla hamjakimbilia ndoa za mke zaidi ya mmoja
umesema kweli ,mimi nachoona kabla mtu hajataka kuongeza jiko ni vyema akadahiliwa je ana kidhi vigezo maana asije akawapa shida dada zetu bure
 
Tatizo sio kuoa wake 2 bali ukioa hata mmoja utachapiwa unachotakiwa ni kuoa mwanamke mwenye maadili na anae muogopa Mola wake, hata huyo unaesema unamjua alikuwa na maadili alikuwa ni mnafiki, hakuwa na maadili asingezini, ulikuwa humjui vyema.

Oeni hata 4 ila wawe wachamungu wa kweli. na hata dini ndivyo ilivyoagiza.
 
Dah umezungumza kwa sauti ya kiume
Ndio mkuu mambo mengine sio lazima wanawake wakubaliane nayo lakini ndivyo yalivyo.

Yaani mtu hata hajui kwa nini bikra iliwekwa anakuja kutoa sababu zisizoeleweka hapa.

Wengi wenye amani katika ndoa ni wale wanaoishi kizamani tofauti na hawa wasomi wanaojitia na elimu zao wakiishi kisasa mwishoe mambo ya Msingi yanawashinda.

Mtu anadigrii hajui nini chakumfanya mwanamke mpaka asitoke. Hajui namna ya kumaintain stamina juu ya Kidari cha mwanamke. Anaishia kupiga kigoli kimoja tena cha mkono. Alafu uniambie asigongewe.

Hakuna mwanadamu asiyeridhika. Wanawake wenyewe huridhika sana.

Mtu anamlala mwanamke hampi vitu vya maana zaidi ya kumchafua chafua. Mwanamke baada ya siku mbili tatu anataka tena. Wakati kiuhalisia mwanamke akipewa dozi kubwa huweza kukaa wiki moja mpaka mbili bila kutamani kufanya ngono.

Ndio maana wazee wazaman waliweza kuchukua wake wawili mpka kumi. Kutokana na uwezo wao.

Leo mwanaume hajui hata kwa nini anandevu hajui kwanini ana misuli. Hajui kwa nin anasauti nzito.

Kazi kula vyakula visivyotia nguvu wala kujenga mwili akijua anamisuli inayohitaji nishati. Mtu anakuka kichakula Kama mtoto wa kike vijiko vitatu vinne kisha anamalizia na soda alafu anapita kule.

Mwanaume ni kufanya kazi ili misuli ipate joto na damu itembee. Kama upo kwenye kazi za ofisini au kukaa Kama udereva basi piga zoezi. Sio kujiachia mwisho unaota kitambi na wowowo kama mwanamke then eti unaongeza mwanamke wa pili.

Mwanaume ni kula chakula kingi chenye nguvu. Ili misuli ipate nguvu na mwili ujijenge. Leo mwanaume anajilia kiepe cha buku jero kila siku afu anategemea kummudu mwanamke.

Mwanamke huhitaji dume haswa.
Ukipiga kazi haswa ya uhakika mwanamke mwenyewe anaweza kukutaka uongeze mke mwingine kwani ameona yeye mwenyewe hakutoshi.

Sasa wewe umtoshelezi unafikiri atakubali mwingine aje azidi kummegea kidogo alichokuwa nacho.

Ifike hatua wanaume tusifuge tuu ndevu na vitambi bali tuonyeshe kazi kwa hawa wanawake uone Kama hawatataka msaada.
Watu hawajiulizi kwa nini wanawake wapo wengi kuzidi wanaume. Hii ni kutokana kuwa Mwanaume anao uwezo wa kuwamiliki wanawake zaidi ya mmoja ikiwa yupo fiti. Lakini mwanamke hawezi kumiliki wanaume wawili waliofiti hata kama huyo mwanamke anaafya kiasi gani.

Wanaume tunajirostisha wenyewe kwa kuendekeza upumbavu.
 
Huijui ndoa, unalopoka tu! Subiri uingie kwenye ndoa ukiwa nje unaweza Sema utakavyo lakini ukituuliza tulio ndani tutaishia kukusanifu tu
 
Tatizo sio kuoa wake 2 bali ukioa hata mmoja utachapiwa unachotakiwa ni kuoa mwanamke mwenye maadili na anae muogopa Mola wake, hata huyo unaesema unamjua alikuwa na maadili alikuwa ni mnafiki, hakuwa na maadili asingezini, ulikuwa humjui vyema.

Oeni hata 4 ila wawe wachamungu wa kweli. na hata dini ndivyo ilivyoagiza.
Kweli kabisa nashkuru kwa mchango wako na mawazo yako,
 
Asilimia kubwa ya wanandoa huchepuka na ma-exlover wao. Wachache hutafuta wapenzi wapya.

Au hujui wanaume tunaogopa wake za watu isipokuwa wale tuliowahi kuwamiliki mkuu.

Angalia ndoa nyingi, wanandoa wengi hawaanzishi uhusiano mpya ili wachepuke bali hutembea na wanaume wao wa zamani.

Hii ni kumaanisha wanawake wengi (sio wote) ambao walikuwa kwenye mahusiano zamani huchepuka kwa kuwarudia ma ex wao. Tofauti na huyu aliyebikra ambaye atahitaji jitihada kubwa kuchepuka.

Bado hujaelewa kinachoongelewa tuu mkuu.
Fikiria vizuri pengine utapata ninachokieleza.

Sipo kwaajili ya kuponda wasio na bikra bali naelezea umuhimu wa mwanamke bikra katika ndoa
Hizo story za ex Lover ni za kijinga kwa ajili ya wanawake wajinga wote na si wanawake tu Bali hata wanaume
 
Ndio mkuu mambo mengine sio lazima wanawake wakubaliane nayo lakini ndivyo yalivyo.

Yaani mtu hata hajui kwa nini bikra iliwekwa anakuja kutoa sababu zisizoeleweka hapa.

Wengi wenye amani katika ndoa ni wale wanaoishi kizamani tofauti na hawa wasomi wanaojitia na elimu zao wakiishi kisasa mwishoe mambo ya Msingi yanawashinda.

Mtu anadigrii hajui nini chakumfanya mwanamke mpaka asitoke. Hajui namna ya kumaintain stamina juu ya Kidari cha mwanamke. Anaishia kupiga kigoli kimoja tena cha mkono. Alafu uniambie asigongewe.

Hakuna mwanadamu asiyeridhika. Wanawake wenyewe huridhika sana.

Mtu anamlala mwanamke hampi vitu vya maana zaidi ya kumchafua chafua. Mwanamke baada ya siku mbili tatu anataka tena. Wakati kiuhalisia mwanamke akipewa dozi kubwa huweza kukaa wiki moja mpaka mbili bila kutamani kufanya ngono.

Ndio maana wazee wazaman waliweza kuchukua wake wawili mpka kumi. Kutokana na uwezo wao.

Leo mwanaume hajui hata kwa nini anandevu hajui kwanini ana misuli. Hajui kwa nin anasauti nzito.

Kazi kula vyakula visivyotia nguvu wala kujenga mwili akijua anamisuli inayohitaji nishati. Mtu anakuka kichakula Kama mtoto wa kike vijiko vitatu vinne kisha anamalizia na soda alafu anapita kule.

Mwanaume ni kufanya kazi ili misuli ipate joto na damu itembee. Kama upo kwenye kazi za ofisini au kukaa Kama udereva basi piga zoezi. Sio kujiachia mwisho unaota kitambi na wowowo kama mwanamke then eti unaongeza mwanamke wa pili.

Mwanaume ni kula chakula kingi chenye nguvu. Ili misuli ipate nguvu na mwili ujijenge. Leo mwanaume anajilia kiepe cha buku jero kila siku afu anategemea kummudu mwanamke.

Mwanamke huhitaji dume haswa.
Ukipiga kazi haswa ya uhakika mwanamke mwenyewe anaweza kukutaka uongeze mke mwingine kwani ameona yeye mwenyewe hakutoshi.

Sasa wewe umtoshelezi unafikiri atakubali mwingine aje azidi kummegea kidogo alichokuwa nacho.

Ifike hatua wanaume tusifuge tuu ndevu na vitambi bali tuonyeshe kazi kwa hawa wanawake uone Kama hawatataka msaada.
Watu hawajiulizi kwa nini wanawake wapo wengi kuzidi wanaume. Hii ni kutokana kuwa Mwanaume anao uwezo wa kuwamiliki wanawake zaidi ya mmoja ikiwa yupo fiti. Lakini mwanamke hawezi kumiliki wanaume wawili waliofiti hata kama huyo mwanamke anaafya kiasi gani.

Wanaume tunajirostisha wenyewe kwa kuendekeza upumbavu.
Nimekuelewa sana na Yapo niliyojifunza katika maelezo haya ,

mfano
kuna kitu nimegundua kuna tofauti kubwa sana kati ya wazee wa zamani na sisi vijana wasasa ,kama ulivyosema wazee wazamani waliweza kuowa wanawake zaidi ya kumi na kesi hizi hazikuwepi,maana walijikita katika vyakula vya asili

Sisi tumeharibiwa sana uzungu mwingi ,Uko busy na kazi wala hujali haki za mwanamke kisa unapesa unahisi pesa yako itamiliki kila kitu,.
mimi nishasikia wengi sana wanalalamika mume muda wote busy yaan mpaka sex wanapangiana ratiba au mpaka mwanamke aombe kwa pinde ,
na kama atapewa pasi kimoja jamaa hoi ,hapo haijalishi mke ameridhika au laaa ,huu ndo mtihani sasa ,
Tena mwanamke kama uyu analishwa vizuri ivi hawajui binadamu akishiba vzuri matamanio yanaongezeka?
 
Hebu ongelea uhalisia acha mambo ya kufikirika, hakuna kitu kama hicho wewe!! Hakuna mwanamke anaeridhika kwa moyo mmoja mumewe kuoa mke mwingine ni vile tu dini inalazimisha. Hivi mume ana wake wanne alau umpende upendo uleule ambao ungempenda akiwa na wewe tu!!! Hebu hata wewe fikiria kidogo, inakuingia akilini?
Wanawake idadi yenu duniani ni nyingi sana, wengine watataka kuolewa lakini watakosa waume ikiwa kila mmoja na mmoja tu. Mume hata awe na wake tisa, kama ana maadili na anaifahamu dini yake basi hawezi kupunguza upendo kwa wa mwanzo na kuendelea ukasema eti anampenda wa mwisho zaidi. Ndio maana tukaambiwa kwa mwenye uwezo, uwezo huo ukiwa wa kugegeda na kuwafanyia uadilifu basi ongeza. Hivi ikiwa mke tasa, je umuache kwa sababu hazai na ukaoe anaezaa? atajiskiaje yule mwanamke ambae hazai? kwamba hana haki ya kuolewa? lakini badala ya kumuacha basi unaongeza mwengine ili ukuze familia. Wapo wanawake waloridhika kwa nafsi zao mume wake kuwa na wake wanne. kama huwezi wewe usiwawesemee wengine.
 
Back
Top Bottom