Mada inazungumza uchepukaji katika ndoa na sababu zake. Na sababu ya kipekee ni UKAHABA kama wa huyo mwanamke alosema hawezi kusubiri dushe la foleni, ataka yeye kila siku agongwe tu hakuna chengine, tena kwanini usichokwe. Tatizo lako wewe, utetezi wako kwamba eti lazima achepuke (ukiwa unasapoti mwanamke kuchepuka) kwa sababu ya mgegedo. Posts zangu mimi zinazungumzia zaidi katika kujenga familia na kuonesha kuwa ndoa sio mgegedo tu. Kwa sababu unaweza ukagegedwa kwa siku mara 7, lakini kama mchepukaji, utachepuka tu, na sababu sio kwamba eti mume ana mke mwengine. Humu zimo mada kuwa mwanaume mkewe anagegedwa akiwa hayupo, anaingia humu JF kutafuta ushauri, na huyo mtu unakuta hana mke mwengine, sasa chanzo nini kama si Ukahaba wa mke wake?
Tatizo lenu hamujui ndoa, mmeeka mbele ngono. Hebu pitia katika dini usome ndoa, Haki za mume na haki za mke na jinsi ya kuishi panapokuwa na matatizo. Nyie ndio aina ya wanawake mambo ya chumbani kwenu mnayapeleka kwa mashosti zenu......