Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

Dem kibonge unapiga kama una ge**Nye tu vinginevyo siwezi kuoa kibongee [emoji23][emoji23] mkuu hebu siku piga mtt modal..sina maana dem mwembamba sanaa , mtt standard tu ukute ww mwenyewe ni athlete, ahahah [emoji16][emoji16] hautajutia maamuzi..Nasisitiziaa ,
 
Ndiyo alikua 105kg kapunguza kilo nne tangu nimuoe
Wacha utoto, we kumbe umeoa kibonge halafu unalalamika ujinga hapa!!

Hayo mengine anayofanya ukiacha kuchelwwa kuamka, kukoroma na missionary ni upendo tu, sema hisia zako zishahama kwake ndiyo maana unaona kama kero.

Mfanyishe mazoezi!! Atakaa sawa
 
Wacha utoto, we kumbe umeoa kibonge halafu unalalamika ujinga hapa!!

Hayo mengine anayofanya ukiacha kuchelwwa kuamka, kukoroma na missionary ni upendo tu, sema hisia zako zishahama kwake ndiyo maana unaona kama kero.

Mfanyishe mazoezi!! Atakaa sawa
Mkuu hapana cijamchoka na bado nina hisia kwake isipo kua hizo chang'amoto zipo tu kama changamoto kwa wanawake wengine
 
Hilo nalo neno, mm nina watoto wawili na kg 62
Hongera kwa kulinda mwili kwa kweli wake zetu wengine wanajisahau baada ya kuzaa duh wanakuja kuonekana kama wapiga mieleka.
 
Mazoezi ni mvivu sana hata kutembea ni shida. Nimesha mnyang’anya gari, ila bado ni shida ile ile
Hapo kumnyang'anya gari aiseee.... Sipati picha kimbaumbau umpe gari alafu umnyanganye wallah utaleta kazi.....

Ila vibonge hawanaga malawama yakifalaaa... Mungu awabariki vibonge wote
 
Mmh nikama unatucho ma sisi tulio zama kwao na niwake zetu wa milele....
Ulimpendea mwili wake huo ndo bahati njema kwake, kuliko ungemkuta na mwili Kama wangu halafu akanenepea ndani, hapo Ni shughuli pevu upendo huyeyuka wote
 
kweli,wanawake wembamba ni vurugu bin vurumai balaa nusura ya mkosi,kelele sana,wengi uchi wao mbaya,mpana,mrefu hauna ladha;
Mkuu mie nilisha ona kumbe!!! wadada poa wengi ni vimodo ulishawahi kukutana na bonge wa kilo zaidi ya 100? asilimia 99 ni vimbao mbao tu.....
 
Kuzaa hakufanyi mwili uumuke hongera sana kwa kujitunza vyema, mi ninao 3 na tumbo navaa inch 30, hips inch 47 na uzito ni 78kg na huwa zinashuka mpaka 68kg kwahiyo unaweza kuona kuwa kuzaa si sababu ya mwanamke kupoteza mvuto wa kimuonekano

Duuh... tumbo 30 hips 47! Asalaalee... hapo sasa ukute una ka urefu kidogo angalau 5'6" kwenda juu. Tatizo linakuaga kubwaa saana..
 
Duuh... tumbo 30 hips 47! Asalaalee... hapo sasa ukute una ka urefu kidogo angalau 5'6" kwenda juu. Tatizo linakuaga kubwaa saana..
Tatizo gani tena? Kwamba Ni kibonge sana? Maana katika vitu sipendi Ni kuitwa kibonge
Urefu
wangu Ni huo huo uliokadiria
 
Back
Top Bottom