Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Nimekaa na beki tatuz nyingi sana, ila mmoja ndiyo namkumbuka sana!!
Alikuwa Mchawi, tangu aje tulikuwa hatulali maanina ila wazo la kusema ni yeye halikuwepo kabisaa!!
Karaha huwa sipendi! Nikasema ujinga huu mi mwenyewe mchawi zaidi yake ( japo sikujua kama ni yeye) siku hiyo nikafanya yangu, alilia usiku kucha kumuuliza walia nini akajibu sio yeye anatuchezea ila ni bibi yake anakujaga usiku!!
Nikamwambia bibi yako akija usiku leo uniite niongee nae, hakuja na kesho yake akasepa!!
Uvunguni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.
Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itakuwa aiseee maana sio kawaidaa.. Kuna mmoja nilimtuma soda akanambia amechoka[emoji23][emoji23][emoji23] Siku nyingine wife yupo ndania akadhani amelala kumbe anamsikia akawa anasema leo chizi yupo nyumbani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24] Duuh yani balaa tupu
Uvunguni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣 mkuu una mkwara si mchezo. Sasa bibi mtu ungeongea naye nini?
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.
Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
Itakuwa aiseee maana sio kawaidaa.. Kuna mmoja nilimtuma soda akanambia amechoka[emoji23][emoji23][emoji23] Siku nyingine wife yupo ndania akadhani amelala kumbe anamsikia akawa anasema leo chizi yupo nyumbani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24] Duuh yani balaa tupu
Wewe ushapata vimbwanga vyao?Jamani kwa hiyo best hivyo visa mpaka.vya uchawi kuweka chunvi kwenye uji na kadhalika MTU asipokaauda mrefu na H/G achunguzwe Roho yake??japo ni kweli kuna maboss wana roho nzito ila sio kila Bosi asipokaa muda na mdada basi achunguzwe.Je Wewe hujawai pata vimbwanga vyao hata kidogo?
Duh ! Una moyo we dadaukikaa na house girl muelewe tu tabia zake. Akiwa anakula sana jua chakula chako ni ni kitamu na akizoea ataacha.
Kuna mmoja tulimkuta anakaanga mayai sita saa nane usiku. Ni harufu ndiyo ilituamsha
Hii chai
Sasa ye alimchemsha tangu maji ya balidi akamdumkiza mpaka maji yanachemka kuja kumtoa katoka kaiva na manyoya yakeYupo sahihi,kwani ulitaka amnyonyoe kuku manyoya bila kumchemsha??.
Hongera kama hujawahi kumla hata mmoja mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]Katika watu ambao nimeishi nao vizuri ni wadada wa kazi..nimekaa nao karibia 6 na sijawahi kuona tatizo lolote.
Labda pia na nyie kuna sehemu mnakosea kwa wale ambao mnadharaulika na wadada wa kazi.
Sijawahi mkuu..nawachukulia kama ndugu zangu na naheshimiana nao vizur tu.Hongera kama hujawahi kumla hata mmoja mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
du huyo,alipitiliza kidogo kwenye sifa za beki 3,analala mvunguni?Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.
Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
du huyo,alipitiliza kidogo kwenye sifa za beki 3,analala mvunguni?