Ulikuwa na moyo,hasa hilo la kumfinya mtoto ningekula nae sahani moja
Kulala uvunguni hata akilala chooni hiyo hainipi shida,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TATIZO LA KUTOKUSIKIA NA MABEKI TATU WOTEMaisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii
Aliichoka kaziMaisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii
[emoji3][emoji3][emoji3] wanawekaga pamba masikioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TATIZO LA KUTOKUSIKIA NA MABEKI TATU WOTE
Yani hawa watu balaa akipata na shosti wa kupiga nae story ndo balaa kazi haziendii... Usiombe ajue kutumia na simu[emoji33][emoji33][emoji24][emoji24]Ilibidi nimuulize hivi una nini kichwani au una tatizo la akili? Akaniambia dada hata mimi sijui ila naona tu siko sawa kuna muda natamani niwe kawaida ila sijui kinatokea nini.
Hahahaaa. Boss wake kawa chizi
Hata miezi miwili hakuwa amemalizaAliichoka kazi
Basi hakuipenda ajira yakeHata miezi miwili hakuwa amemaliza
niko mbion kumrudsha kwao yuko hvhv na mm nilie nae japo ananipa uroda ila kaz haziend nahs pia ana matatizo ya akiliHuyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.
Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu wife akijuaa...niko mbion kumrudsha kwao yuko hvhv na mm nilie nae japo ananipa uroda ila kaz haziend nahs pia ana matatizo ya akili
Nimekaa na beki tatuz nyingi sana, ila mmoja ndiyo namkumbuka sana!!
Alikuwa Mchawi, tangu aje tulikuwa hatulali maanina ila wazo la kusema ni yeye halikuwepo kabisaa!!
Karaha huwa sipendi! Nikasema ujinga huu mi mwenyewe mchawi zaidi yake ( japo sikujua kama ni yeye) siku hiyo nikafanya yangu, alilia usiku kucha kumuuliza walia nini akajibu sio yeye anatuchezea ila ni bibi yake anakujaga usiku!!
Nikamwambia bibi yako akija usiku leo uniite niongee nae, hakuja na kesho yake akasepa!!
Rafiki yangu ni mpole sasa wasichana wake huwa anawatreat kama wadogo zake, kuna mmoja huyo alikuwa anashika simu anaingia hadi insta, mtu akipiga anapokea....nikamwambia huyo ukimuendekeza atakuja kupokea hadi simu ya boss wakoYani hawa watu balaa akipata na shosti wa kupiga nae story ndo balaa kazi haziendii... Usiombe ajue kutumia na simu[emoji33][emoji33][emoji24][emoji24]
hawez kujua hata nikikaa na huyu dada miaka 1000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu wife akijuaa...
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sanaWanakwama sana me karibu wote watatu nliokaa nao wana hilo tatizo..unamwambia hiki yeye anafanya kilee
Ukitaka kujua roho ya mtu chunguza muda anao kaa na ma house girl.
Aisee wife alimrudisha bila kukuuliza chochote???Beki 3 kwangu wanakaa sana ila niliteleza kwa beki tatu wangu mmoja tu na niliapa sitorudia tena .. Nilitaka kuwa kama baba wa imani Mzee Ibrahim ila wife alikuja kustukia mchezo akamrudisha kwao yule binti. Namuomba Mungu kila siku anizuie nisje kuwatamani tena hawa wasaidizi wa kazi nyumbani kwangu.