Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Mkuu hii comment yako inaonyesha maana halisi ya ustaarabu. Wabongo tunajisahau sana mafanikio kidogo yanajifanya tujione sisi ndo tunastahili mazuri ili wenzetu hawastahili mazuri housegirl ana play role kubwa anastahiki kupewa pongezi na shukrani.. So kuongelea mabaya tu ya mahousegirl ni unafiki na udhandiki wa mtu mwenye roho ya kishetani
 
Huyo alitoa maoni yake kama wenginee... Siwezi mpangi mtu apost nini!! Kuna wengine wametoa mawazo ya kupima afya ambayo kweli ni mazuri lakino sikuwahi fikiriaa... Usione tu mabaya kuna mengine mengi ya kujifunza kuputia makosa ya wengineee huo ubaguzi unaousema wewe ni Maoni yako pia siwezi kuyapinga.
 
Dogo, huyo sikujishughulisha naye sababu ni wa kike, wewe ninakuasa maana nataka ukue ukishabihiana na jinsia yako. Mwanaume unapaswa kuwa mtu mwenye fikra na haki, achana na hawa supporters wako, hawa wenzetu wanatumia emotions zaidi ya logic.

Pana sehemu umeniuliza "una dada beki tatu nini?" Unataka kuniambia intentions zako zilikuwa ni positive? Hapa ndio nikaiona dalili ya udhaifu wa kike ndani ya mwili wa mwanaume (in case wewe ni wa kiume, maana mtandaoni hapa).

Labda nikuulize, kuhusu huu mfano 'bora' wa mwenzetu aliyesema TUWAPIME NGOMA. Inapotokea mtoto wa dada yako, shemeji yako, binamu and the likes amekuja kukaa na nyinyi muda wa likizo au whatever, huwa na yeye mnampima ukimwi in the same aspect au ndugu hawaambukizi ukimwi, unaambukizwa na dada wa kazi tu akiwa kwenye hedhi? Maana mi hedhi najua huwapata wanawake wote na ukimwi ni ugonjwa wa yeyote, hili wewe unalionaje?
 
Kumbe rikiboy umeoa[emoji3][emoji3]. Mi nilijua senior bachelor maana nyuzi za uchakataji unazichangia sana
 
Kumbe rikiboy umeoa[emoji3][emoji3]. Mi nilijua senior bachelor maana nyuzi za uchakataji unazichangia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bachelor wapi nduguu...!! Wife yupo ndani...
 
Me hata wew ukija kunitembelea Kwangu nakupimaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Maana una udada sana wa kujikuta mtu mzimaa...Kachangie jukwaa la Technology bhasi hukoo point zakoo[emoji2089][emoji2089][emoji2089] Kelele tu unatupigia hapa
 
Hahaha...Kwahiyo akahisi umemroga eti!???

Imani za kishirikina mbaya sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Unanifurahisha sana na hzi Story zako aisee! !

Anakushukuru huko aliko kwa kumsaidia kupata ndoa
 
mtu aliyesema ivyo ni masikini wa roho,mwili na akili.
 
nazi badala ya kukuna kwenye mbuzi tulikuta anaitwanga kwenye kinu, na pia tulimkuta kamchemsha kuku na manyoa yake eti ili iwe simple wakati wa kumnyonyoa dah
Chai hii. kuku wengi wanatoka huko walikokuwa atashindwa vipi kujua kumnyonyoa?
 
You are one of the best.

Hivi hii ni mara ya ngapi nakwambia hivi?
 
Kuna aliyeondoka ameiba vitu kibao, alisahau kuwa katika stori siku za kwanza alishasema mpaka kijiji anachotoka.

Tulikwenda na polisi kijijini kwao, katika kusearch tulikuta ameiba picha za hubby amezipamba ukutani chumbani kwake.😂
Ulizichukua tena?? Si ungemuachia tu mkuu.

There would be no harm at all
 
Me hata wew ukija kunitembelea Kwangu nakupimaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Maana una udada sana wa kujikuta mtu mzimaa...Kachangie jukwaa la Technology bhasi hukoo point zakoo[emoji2089][emoji2089][emoji2089] Kelele tu unatupigia hapa
Sasa mbona unazungumzia UDADA kwa style za kidada? Kwani wewe ni wa kike au wa kiume? Maana huko awali umezungumza juu ya wife wako, lakini mara kadhaa unaniandikia BHASI, nini mbaya dogo?

Halafu nikwambie tabia nyingine za KIKE? They can not stand on their own. Hapa najadili na wewe lakini unaniambia NAWAPIGIA KELELE, sasa nawapigia wewe na nani? Hiyo moja,

Mbili, wakina mama wana tabia ya kukimbia tatizo badala ya kulitatua. Umeweka hoja tujadili, nimekupa changamoto tu kidogo unaniambia nikachangie jukwaa la teknolojia nipeleke point zangu huko, sasa hii hoja yako vipi, unaifunga?

Sikiliza dogo, I want to make your father proud. Let me mentor you, there is still some hope I can get you back to masculine track. Achana na vijicompany vya wadada, wao wanapendeza hivyo sababu they are delicate. Wewe unapaswa ujifunze kubeba ukweli mchungu na kuufanyia kazi. Usidhani nakutania, kuna uanamke mwingi sana ndani yako kiasi unakuwa emotional badala ya logical. Ukiwa na nafasi nitafute nikusaidie kuachana na mashoga uanze kumpa babaako matumaini ya jina lake kuendelea kuwepo. Karibu sana
 
Nilikuona unavyotamba kwa mbwembwe kama Enock wa Yamoto Band enzi zao.
Uliniona wapi?😂
Seriously nilikufikiria ile siku baada ya match kuisha,nikafikiria kukupigia usiku ule nikahofia kukukera zaidi
Naomba uwe hujaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…