Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Huna adabu. Umekosa wanawake mpaka ule house girl mkuu?
house girls si ni wanawake pia, kinachowafanya wanaume wengi waanguke kwenye mtego huo wa kuwala housegirls ni kwa sababu si wasumbufu. Yani unampata anytime you like, hawana kupiga kalenda na mlolongo mrefu..
 
Nilipata mwingine alikua ananuka jasho jamani.
Nilikua siwezi hata kukaribisha rafiki zangu nyumbani naona aibu kunavyonuka.
Nikirudi kazini nakaa chumbani tu ila sasa nawaza mwanangu na ile harufu.
Siku nikamuuliza unasikia hii harufu akasema ndio dada, nikamwambia unajua una tatizo la kunuka jasho akasema anajua.
Basi nikamtafutia tiba. Siku 3 tu harufu ikakaata. Kakaa mwenzi kaacha kunuka jasho akaenda kuolewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijawahi kukutana na jasho kama lile
Ulimpa dawa gani ?
 
Anachemsha maziwa kwenye jiko la gesi halafu yye anaendelea na kazi zingine kuja kustuka nusu ya maziwa imemwagika.

Yaani huyu wangu changamoto zake ni kwenye jiko la gesi tu ana matumizi yasiyo sahihi.
Asee hii imenikuta...sufuria nyingi zimekaangwa kibishi!
 
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
mkuu nakuibia siri ,anajipamba kwa ajili ya mumeo /bwanako
 
Mimi nilianza mapenzi na beki tatu, nilikuwa MDOGO nasoma darasa la nne, lakini beki tatu bonge la mama.
Mama yangu na baba yangu walikuwa Ni watu wenye kazi nyiingi saana, wakati mwingine wanaenda inje ya inchi hata miezi mitatu hivi.
Yaaani ukishaonja beki tatu ngumu saana kuacha!
 
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
 
Hamkumfanyia interview?

Ukipata dada wa kazi kwanza mpe mkataba wake wa kazi ausome. Akimaliza kusoma muulize alichoelewa kutoka kwenye mkataba kama ameridhia atie signature

Mpe sharti la kupima ngoma. Akiwa mwathirika usimnyanyapae ila mpe off siku za kitengo.
hapa umeniacha siku za kitengo zipi??kulipa bili??
 
Mimi nilianza mapenzi na beki tatu, nilikuwa MDOGO nasoma darasa la nne, lakini beki tatu bonge la mama.
Mama yangu na baba yangu walikuwa Ni watu wenye kazi nyiingi saana, wakati mwingine wanaenda inje ya inchi hata miezi mitatu hivi.
Yaaani ukishaonja beki tatu ngumu saana kuacha!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukala beki tatu jimama
 
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huyo alikwa rigendiiiii
 
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu

Hii kali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamkumfanyia interview?

Ukipata dada wa kazi kwanza mpe mkataba wake wa kazi ausome. Akimaliza kusoma muulize alichoelewa kutoka kwenye mkataba kama ameridhia atie signature

Mpe sharti la kupima ngoma. Akiwa mwathirika usimnyanyapae ila mpe off siku za kitengo.
Sio kupima Ki usawa mnatakiwa mkapime wote, mana hata wewe au watoto wako wanaweza kuwa na maambukizi. Hii imetokea kwa jirani yetu ana vijana nyumbani kumbe mmoja ameathirika, dada wa kazi Kaja kaanza kumgegeda hadi kamwambukiza ngoma mtoto wa watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh aisee...!! Kweli beki tatu mke wa pili
eeh kaka s unajua tena, mtoto ukishakaa nae kikao unamwambia athari za kutotii maagizo yako
 
Kuna mmoja alikua bek 3 wa anti..daah yani alikua anasinzia kila muda..hasa kipindi cha ibada yani usingizi mpka anakoroma...ila baada ya ibada akianza kuangalia tamthilia zile za kihindi...hahaaa hiyo ni mpka sa9 usiku yupo macho..

Ila kwenye kutosikia vzr nadhani ndio ulemavu wa mabeki tatu wote tz nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo hilo ukisema afate colgate analeta chocolate..inabd ucheke tu usubiri wife atoke umuadhibu
 
house girls si ni wanawake pia, kinachowafanya wanaume wengi waanguke kwenye mtego huo wa kuwala housegirls ni kwa sababu si wasumbufu. Yani unampata anytime you like, hawana kupiga kalenda na mlolongo mrefu
ewa mm huyu akikosea tu anajua adhabu ni nin
 
Back
Top Bottom