Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
njiiimuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] ngoja nipeleke msemo huu nyumban
 
Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hana[emoji23][emoji23][emoji23] ikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.

Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?

Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???

Hahaahh kwetu walikuwa wawili...wakiume na wakike
Tatizo la wa kike ni mchafu sana anaweza akafululiza siku tatu bila kuoga na muda wote kajifunga kanga moja,huyu nilikuwa nikirudi nyumbani likizo namuachia kazi zote ila kupika napika mwenyewe mana nilikuwa naonea kinyaa hata chakula chake

Wa kiume alikuwa muongo halafu mdokozi asee! Unaweza kukuta kitu kipo ndani kwake kabisa lakini anasema sio yeye aliyechukua na hajui kimefikaje ndani kwake
Alikuja akampa mimba msichana mwingine huko akaomba amlete nyumbani kwetu aishi nae 😆😅
 
Inahitaji uwe na tabia za kike kwa walau 35% kwa mwanaume kuanzisha mada ya muelekeo wa kimasimango namna hii.

Dear idiots, hawa wadada wa kazi mnaowananga hapa kuwa hawajui kuwasha TV, hawajui tofauti ya soda na maji na kadhalika, wangekuwa na elimu na exposure ya kiwango hicho mnachotamani wawe nacho, wangekuwa majumbani mwenu wakiosha vyombo kwa ujira wa elfu 40 kwa mwezi?

There is always first time for everything...kwa nini umgeuze kituko? Mnawaongelea as if ni watu fulani mliwapeleka shule halafu hamkuona return ya hivyo juhudi yenu. Hayo majiko ya gesi, TV na majokofu, mama na baba zenu huko vijijini wanajua kuyatumia?

Acheni tabia za kujishaua shaua, kuna wasaidizi wa nyumbani wenye elimu zao kama mnataka, wapo huku Masaki, wanajua hadi kutumia majacuzzi, wanaendesha magari kuwafuata watoto shule, wanajua kutumia washing mashine na wanaongea kiingereza na kihispania pia, wanalipwa $400 kwa mwezi, waajirini hao.
 
Hahaahh kwetu walikuwa wawili...wakiume na wakike
Tatizo la wa kike ni mchafu sana anaweza akafululiza siku tatu bila kuoga na muda wote kajifunga kanga moja,huyu nilikuwa nikirudi nyumbani likizo namuachia kazi zote ila kupika napika mwenyewe mana nilikuwa naonea kinyaa hata chakula chake

Wa kiume alikuwa muongo halafu mdokozi asee! Unaweza kukuta kitu kipo ndani kwake kabisa lakini anasema sio yeye aliyechukua na hajui kimefikaje ndani kwake
Alikuja akampa mimba msichana mwingine huko akaomba amlete nyumbani kwetu aishi nae [emoji38][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Balaa hili
 
Vipi una dada Beki tatu nini??? Unajua maana ya neno changamotoo au unaleta ushabiki maandazi...
 
maoni yako yaheshimiwe..ila tupishe kidogo..kwahyo unaturingishia juccuzi acha tabia za kimama wewe
 
Kukaa kwenye kochi + kula kwa pamoja kwenye dinningtable
Ikiwa ulimaanisha ni jambo la ajabu au baya kwa yeye kukaa kwenye kochi na kula na familia pamoja mezani, then you are so low. Utakuwa ni mwenye nafsi fukara sana. Kama unaweza kumwamini APIKE CHAKULA UNACHOKAA HAPO KWENYE HIYO MEZA YAKO NZURI UKALA lakini saa ya kula anakuwa hana hadhi ya kukaa kula na wewe, basi jikague:
1. Elimu yako
2. Imani yako (ikiwa una dini)
3. Ustaarabu wako.

Ukuu na mamlaka ya mtu hudhihirika kwa namna anavyowachukulia walio wadogo kwake. Be humble, great you shall be.
 
maoni yako yaheshimiwe..ila tupishe kidogo..kwahyo unaturingishia juccuzi acha tabia za kimama wewe
Ndio akili zenyewe hizi, hata wewe kwa akili hizi unafanana tu uelewa na hawa mnaowananga. Hakuna sehemu nimesema nina JACUZZI na hata sijawaza kuwa nalo maana halifanani na kipato changu, lakini sijapungukiwa akili kiasi cha kuwazungumzia binadamu wengine kama vituko, wakati vituko mko hapa mnajikweza.
 
Vipi una dada Beki tatu nini??? Unajua maana ya neno changamotoo au unaleta ushabiki maandazi...
We mtoto sio rizki. Ndio shida za kuishi kwa shemeji zenu walikoolewa dada zenu, mchana kutwa upo nyumbani na dada wa kazi na ndio maana unatunishiana misuli na kujilinganisha nao.

Mi nakushauri tu umuheshimu hata kama ni mshamba maana mwenzio yupo kazini, wewe ni mlowezi. By the way, yule dada yako aliyepewagwa mimba halafu njemba ikasepa ungependa ajadiliwe madhaifu yake namna hii?
 
Mimi nilianza mapenzi na beki tatu, nilikuwa MDOGO nasoma darasa la nne, lakini beki tatu bonge la mama.
Mama yangu na baba yangu walikuwa Ni watu wenye kazi nyiingi saana, wakati mwingine wanaenda inje ya inchi hata miezi mitatu hivi.
Yaaani ukishaonja beki tatu ngumu saana kuacha!
Ha ha ha ha beki tatu kam heroine mkuu au sio?
 
We mtoto sio rizki. Ndio shida za kuishi kwa shemeji zenu walikoolewa dada zenu, mchana kutwa upo nyumbani na dada wa kazi na ndio maana unatunishiana misuli na kujilinganisha nao.

Mi nakushauri tu umuheshimu hata kama ni mshamba maana mwenzio yupo kazini, wewe ni mlowezi. By the way, yule dada yako aliyepewagwa mimba halafu njemba ikasepa ungependa ajadiliwe madhaifu yake namna hii?
we mtoka pabaya ebu nyamaza bhana naona mada imekuchefua
 
Alikua na mchuchu wake.
Nilimpaga simu atumie sasa alivyoondoka akaniachia nikakuta message wanazopanga na huyo mchuchu wake waoane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hata kusahau jasho nalo kikwazoo...itakuwa alipata mchuchu
 
Jane Jane Jane!!
Pumzika kwa amani Jane wangu! Tuliishi kama mtu na dadake, tulikula pamoja, tulitaniana tulilia pamoja!! Daaahhh ni ngumu sana kukusahau Jane ila mapenzi ya Mungu yatimizwe!!

Hawa wadada huwa wanatoka vijijini, kwenye mazingira magumu, na maisha duni.

Tuwaelekeze, tuwafundishe na tuwapende pia, mara nyingi saaana huwa ni waoga na sio kwamba hawasikii, wanakuwa attention mpaka inapitiliza, wanakuwa na hofu sana hasa kwa sisi wanawake ambao mara nyingi saana tunakuwa nao karibu!!
 
Nimekuja kujua hayo mwezi wa 8 kuwa yeye ndie aliekua anampiga mtoto. Mwanzoni alimsingizia mtoto mwenzie tulipokua tunakaa mwanzo. Tukahamia kwingine siku namcheck mtoto nakuta kajaa alama za kucha mapajani.
Toka nigundue hakuwahi kumpiga tena.
Ila ya uchizi nimegundua kama two weeks ago. Sikua na jinsi nikamrudisha tu kwao. Alikua ananipa mawazo nikiwa kazini jamani.
Usiku nikilala nafunga mlango na funguo ukichaa usije ukampanda akaja kuniua na mwanangu
Ulikuwa unamwamini vipi hadi kumwachia mtoto?
 
Hahaahh kwetu walikuwa wawili...wakiume na wakike
Tatizo la wa kike ni mchafu sana anaweza akafululiza siku tatu bila kuoga na muda wote kajifunga kanga moja,huyu nilikuwa nikirudi nyumbani likizo namuachia kazi zote ila kupika napika mwenyewe mana nilikuwa naonea kinyaa hata chakula chake

Wa kiume alikuwa muongo halafu mdokozi asee! Unaweza kukuta kitu kipo ndani kwake kabisa lakini anasema sio yeye aliyechukua na hajui kimefikaje ndani kwake
Alikuja akampa mimba msichana mwingine huko akaomba amlete nyumbani kwetu aishi nae [emoji38][emoji28]
Sasa angempeleka wapi wakati hapo ndiyo alikuwa anaishi,haahh haa
 
Back
Top Bottom