Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Uliniona wapi?😂
Seriously nilikufikiria ile siku baada ya match kuisha,nikafikiria kukupigia usiku ule nikahofia kukukera zaidi
Naomba uwe hujaumia sana

Nilikuona kwenye uzi wa Chelsea.

Siumiagi sana timu ikifungwa, huwa natafuta kitu cha kunipa moyo. Isipokuwa nashangilia sana tukishinda.
 
Aisee hawa watu wana changamoto mno, mimi wa kwangu basi tu, kila kitu ni lazima afanye kwa kusimamiwa, tukienda job mtoto hapikiwi, haogeshwi wala usafi haufanyiki, ni upuuzi tu. Natamani Vyuo kama Veta vitoe kozi hii ili tuchukue watu wenye uelewa aisee.
 
Ikiwa ulimaanisha ni jambo la ajabu au baya kwa yeye kukaa kwenye kochi na kula na familia pamoja mezani, then you are so low. Utakuwa ni mwenye nafsi fukara sana. Kama unaweza kumwamini APIKE CHAKULA UNACHOKAA HAPO KWENYE HIYO MEZA YAKO NZURI UKALA lakini saa ya kula anakuwa hana hadhi ya kukaa kula na wewe, basi jikague:
1. Elimu yako
2. Imani yako (ikiwa una dini)
3. Ustaarabu wako.

Ukuu na mamlaka ya mtu hudhihirika kwa namna anavyowachukulia walio wadogo kwake. Be humble, great you shall be.
Comments zako nimejikuta nimekupenda bure mkuu. Nimeku folo kiroho safi
 
Fata hatua hizi

1. Hakikisha umefanya selection na kujiridhisha vya kutoa kwamba anakidhi vigezo

2. Chukua muda wako kumfanyia training from zero.. never imagine.

3. Anza kidogo kidogo kumpa asignment ndogondogo kwa usimamizi na kadri siku zinavyo endelea mpe majukumu makubwa

4. Hakiki kila kazi anayo fanya na kumpa deedback

5. Mpongeze anapo fanya vizuri, lipa mashahara mzuri, usimtenge sana familia , mtreat kama sehemu ya familia.

Hakikisha mzee mwenye nyumba ana kaa mbali naye.. maana akisha anza kunona inakua shida.
 
Sasa mbona unazungumzia UDADA kwa style za kidada? Kwani wewe ni wa kike au wa kiume? Maana huko awali umezungumza juu ya wife wako, lakini mara kadhaa unaniandikia BHASI, nini mbaya dogo?

Halafu nikwambie tabia nyingine za KIKE? They can not stand on their own. Hapa najadili na wewe lakini unaniambia NAWAPIGIA KELELE, sasa nawapigia wewe na nani? Hiyo moja,

Mbili, wakina mama wana tabia ya kukimbia tatizo badala ya kulitatua. Umeweka hoja tujadili, nimekupa changamoto tu kidogo unaniambia nikachangie jukwaa la teknolojia nipeleke point zangu huko, sasa hii hoja yako vipi, unaifunga?

Sikiliza dogo, I want to make your father proud. Let me mentor you, there is still some hope I can get you back to masculine track. Achana na vijicompany vya wadada, wao wanapendeza hivyo sababu they are delicate. Wewe unapaswa ujifunze kubeba ukweli mchungu na kuufanyia kazi. Usidhani nakutania, kuna uanamke mwingi sana ndani yako kiasi unakuwa emotional badala ya logical. Ukiwa na nafasi nitafute nikusaidie kuachana na mashoga uanze kumpa babaako matumaini ya jina lake kuendelea kuwepo. Karibu sana
Nitoleee English mbovu hiyoo... Eti make my father proud! Kakojoe ulalee mzee.
 
Kwa huu ukweli mchungu, lazima somo lieleweke tu
 
Kwa huu ukweli mchungu, lazima somo lieleweke tu
Kaungane nae muuandikie kitabu huo ukweli uzidi kunogaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Maisha ya Jf kuyachukulia serious sana mtakufa mapemaa...! Mtag aje aendelee kuandika gazetii...
 
*****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatomba beki 3
niko mbion kumrudsha kwao yuko hvhv na mm nilie nae japo ananipa uroda ila kaz haziend nahs pia ana matatizo ya akili
 
Anasema huko kwao wanarogana sana.
Kwahiyo baba ake akamuita waende kumuagua atafutiwe na hirizi nyingine ya ulinzi
Maskini kumbe jamii yake yote ina amini ushirikina namna hyo!!

Ni ngumu sana kubadilisha watu wenye fikra hizo
 
Back
Top Bottom