Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Shughulika kwanza na matibabu ya akili yako iliyoathiriwa na matumizi makubwa ya Bangi.Mkuu kuna Kwaresma naona aibu kushughulika na wewe
Umesahau kuweka namba za simu mkuuChangamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.
Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.
serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.
kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒
Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...
God bless Tanzania
Mkuu wewe ndo mwenye bandiko, ila mkuu isiwe kesi, Kama nimekukosea kukumbusha kuhusu kuweka namba ya simu naomba unisanehetuma nikuwekee mkuu 🐒
Tuombee msamaha kwa Mungu pekee mkuu 🐒Mkuu wewe ndo mwenye bandiko, ila mkuu isiwe kesi, Kama nimekukosea kukumbusha kuhusu kuweka namba ya simu naomba unisanehe
Umeme unakatika Sana mkuu, unaweza ukahisi nao unafanya kazi Kama ya Fifi Motto, hayo nayo Ni madudu??Tuombee msamaha kwa Mungu pekee mkuu 🐒
kwa madudu kibao tunayomkosea, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu🐒
🙏Mkuu kuna Kwaresma naona aibu kushughulika na wewe
Duh!ccm ina jivunia utajiri wa viongozi na mamilioni ya wananchi mahiri, waadilifu na makini sana ...
chochote kitakachobadilika popote humu nchini, kwababu yoyote ile itaendelea kushinda, kuunda serikali na kuongoza nchi....
hayo ya sijui ya mahakamani, ati sijui nani ni kaka yake nani na kwenye gazeti fulani kulipaswa kua na nini; nadhani mbaki nayo ninyi wenye haja nayo....
Pamoja
Hahahahahahaha haya bhanaShughulika kwanza na matibabu ya akili yako iliyoathiriwa na matumizi makubwa ya Bangi.
Acha ujinga wako Moshi ina maendeleo makubwa snAcha bangi mdogo wangu.kila siku nasema acha bangi .si umesikia kuwa moshi kwa sasa inateketea kwa ulevi wa gongo, matumizi ya mirungi pamoja na uvutaji wa bangi uliokithiri?
Utaelewa nini wakati upo kwenye kundi la walevi,wavuta bangi na watumiaji wa mirungi kupindukia kama kichaaAcha ujinga wako Moshi ina maendeleo makubwa sn
Hivi UWT hamuendi mapumziko ya Pasaka?Utaelewa nini wakati upo kwenye kundi la walevi,wavuta bangi na watumiaji wa mirungi kupindukia kama kichaa