Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
Umesahau kuweka namba za simu mkuu
 
Mkuu wewe ndo mwenye bandiko, ila mkuu isiwe kesi, Kama nimekukosea kukumbusha kuhusu kuweka namba ya simu naomba unisanehe
Tuombee msamaha kwa Mungu pekee mkuu 🐒

kwa madudu kibao tunayomkosea, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu🐒
 
Tuombee msamaha kwa Mungu pekee mkuu 🐒

kwa madudu kibao tunayomkosea, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu🐒
Umeme unakatika Sana mkuu, unaweza ukahisi nao unafanya kazi Kama ya Fifi Motto, hayo nayo Ni madudu??
 
ccm ina jivunia utajiri wa viongozi na mamilioni ya wananchi mahiri, waadilifu na makini sana ...

chochote kitakachobadilika popote humu nchini, kwababu yoyote ile itaendelea kushinda, kuunda serikali na kuongoza nchi....

hayo ya sijui ya mahakamani, ati sijui nani ni kaka yake nani na kwenye gazeti fulani kulipaswa kua na nini; nadhani mbaki nayo ninyi wenye haja nayo....
Duh!
 
Kwakweli medulla oblongata nitatizo. Hivi suala la NHIF hulijui? Vipi umeme na mgao uliopo ama kukatikakatika, vipi mkwamo wa ajira vijana wamejiajiri kuokota makopo. Vipi wezi kuhamishwa na kutoshuhulikiwa. Vipi mwendo kasi na changamoto zake. Hujaona kama hospitalini dawa hamna.
Hebu acha kushurutisha watu watoe ya moyoni kuhusu serikali
 
Back
Top Bottom