Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
All in all bro, ccm ni majambazi,
Samia na kaka yake Maghu walipata kura kiasi gani? Sheria inasema baada ya uchaguzi matokeo yawekwe kwenye gazeti la serikali, hayajawahi kuwekwa!
Matokeo yq uraisi hayapingwi mahakqmani, bsdilisheni hii, muone kama mtarudi ikulu, wanaosimamia uchaguzi wote ni ccm,
 
ccm ina jivunia utajiri wa viongozi na mamilioni ya wananchi mahiri, waadilifu na makini sana ...

chochote kitakachobadilika popote humu nchini, kwababu yoyote ile itaendelea kushinda, kuunda serikali na kuongoza nchi....

hayo ya sijui ya mahakamani, ati sijui nani ni kaka yake nani na kwenye gazeti fulani kulipaswa kua na nini; nadhani mbaki nayo ninyi wenye haja nayo....
 
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
Kwa hiyo jiwe hakufanya lolote, mbona ana anaabudiwa sn na waafidhina.
 
hiyo sifahami kwakweli,

but kwakweli wanainchi wameridhishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya sita chini ya Dr.SSH na wana matarajio makubwa zaidi baada ya 2025 na wana Imani thabiti na Dr.SSH...

BILASHAKA TUPO PAMOJA MPAKA KIELEWEKE..
 
Taja Changamoto zilimalizwa na Samia?
MAJI AFYA ELIMU KILIMO NISHATI MIUNDOMBINU BIASHARA KWA UCHACHE SANA...

usafiri wa anga ni motroo zaidi,
leo tumepokea mdege mkubwa ajabu, aiseee Dr.SSH ni nouma sana dah...

na maandamano haramu hakuna tena ...
 
MAJI AFYA ELIMU KILIMO NISHATI MIUNDOMBINU
Maji bado ni shida ni asilimia ndogo tu wanaopata Maji safi na salama, Elimu yetu inazalisha Mambumbumbu wengi kuliko Elimu ya Kenya,Kilimo ambacho asilimia kubwa tunatumia Jembe la Mkono.

Nini kingine ambacho sio POROJO?
 
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
kwa macho yako zimetatuliwa, kwa wapenda maendeleo kero na shida zimeongezeka
 
Changamoto ya sheria na katiba vipi? Wananchi wanahitaji katiba mpya
 
zolizopo ni kasoro, dosari na changamoto ndogondogo za kawaida, na hata hivyo zinasahihishwa na kurekebishwa na tunasonga mbele vizuri kwa pamoja...
 
Changamoto ya sheria na katiba vipi? Wananchi wanahitaji katiba mpya
baada ya uchaguzi mkuu ujao wa 2025, hilo litaanzishwa na kukamilishwa kabisa na tusonge mbele. Muhimu ni kua na subra na ustahimilivu kidogo tu...
 
MAJI AFYA ELIMU KILIMO NISHATI MIUNDOMBINU BIASHARA KWA UCHACHE SANA...

usafiri wa anga ni motroo zaidi,
leo tumepokea mdege mkubwa ajabu, aiseee Dr.SSH ni nouma sana dah...

na maandamano haramu hakuna tena ...
Kweli kushaabikia siasa inabidi ujitoe ufaham, na ndo maana mimi nachukia siasa kwa sababu ya watu kupenda propaganda na kupenda kusikiliza mambo ya hovyo hovyo na uongo badala ya uhalisia. Hizi petty arguments za waafidhina ni hatari kwa afya ya akili kwa mwenye akili.
 
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno [emoji205]

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
Watu kama nyie mnatuchelewesha dana kupata maendeleobya kweli. Wakati mwingine huwa nafikiri kwamba nyie sionraia wa nchi yetu na kwa hiyo hamna cha kupoteza. Ni changamoto zipi ambazo zimetatuliwa kwa kiasi cha mwendelezo? Hakuna, tunajidanganya tu. We need to be more serious vijana. Acheni uchawa, unaua nchi.
 
Kweli kushaabikia siasa inabidi ujitoe ufaham, na ndo maana mimi nachukia siasa kwa sababu ya watu kupenda propaganda na kupenda kusikiliza mambo ya hovyo hovyo na uongo badala ya uhalisia. Hizi petty arguments za waafidhina ni hatari kwa afya ya akili kwa mwenye akili.
huna haja kujitoa ufahamu wala kuchukia siasa...

na by the way,
human being are political animals..
ukiikosa siasa majukwaani, utalitana na siasa kanisani au misikitini, ukiikwepa huko utakutana na siasa ya kwenye familia na jamii yako. hakuna mahali unaweza kwepa kufanya siasa, never ever, upende usipende siasa ni maisha haiepukiki...
Hence it is evident that the state is a creation of nature, and that man is by nature a political animal.

huna haja kughadhabishwa na maoni au mitazamo ya wengine juu ya mambo yaliyotofauti na mtazamo wako...

KUSEMA UKWELI, MAMA DR SSH ANAUPIGA MWINGI, 2025 TWENDENI NAE ATATUVUSHA SALAMA..
 
Watu kama nyie mnatuchelewesha dana kupata maendeleobya kweli. Wakati mwingine huwa nafikiri kwamba nyie sionraia wa nchi yetu na kwa hiyo hamna cha kupoteza. Ni changamoto zipi ambazo zimetatuliwa kwa kiasi cha mwendelezo? Hakuna, tunajidanganya tu. We need to be more serious vijana. Acheni uchawa, unaua nchi.
changamoto zilizotatuliwa ni nyingi mno, kwa uchache nimeziorodhesha vizuri sana tu hapo juu..

hata hivyo dosari na kasoro chache ambazo haziepukiki, nazo zinarekebishwa na kusahihishwa na tunasonga mbele vizuri sana......

hakuna anae danganywa na yeyote, mambo yote ni bayana yanaonekana hadharani mchana kweupeeee...

nini hakijafanyika wapi humu nchini?..
matamanio na matarajio ya waTanzania yamefikiwa kwa kiasi kikubwa sana, na imani thabiti ya waTanzani dhidi ya rais comrade Dr.SSH ni kubwa mno, 2025 mambo ni bam bam...
 
Back
Top Bottom