#COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

#COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Kulazimisha mtu kuchoma chanjo Sio lazima mtu ashikwe KWA nguvu, bali ni kuweka taratibu za kumfanya mtu achomwe chanjo,

Kauli ya Mh mbowe ipo sawa, utakichoma chanjo baki wilayani kwako, au mkoani kwako, hatuwezi chukulia Mambo mazito Kama CORONA Kimzaa zaaa
Kungekuwa na userious basi sasa ingetumika nguvu katika kuweka masharti ya kupambana na corona ili kudhibiti maambukizi ya corona, ila ndio kwanza serikali imeachia tu watu waambukizane na wenyewe wanasema kabisa hawatotumia nguvu watu wajikinge wenyewe.
Sasa katika mazingira kama hayo kwenda kukimbilia chanjo ndio tuseme kuna userious hapo?
 
Hao watu wanaosema chanjobiwe lazma, nchi ina watu zaidi ya milioni 60, chanjo ziko ngapi na wana uwezo wa kutoa ngapi?

Just from a practical standpoint.

Tuseme wananchi waitikie wito, wote hawa watake chanjo.

Serikali ina uwezo kuwachanja?
 
Back
Top Bottom