- Thread starter
- #221
Wewe unayetaka chanjo wasiotaka chanjo wakikulazimisha usipate chanjo utafurahi?
Marekani huwezi kuiepuka wewe mtwana kibweka. Hapa ulipo unatumia mtandao wa Marekani.
Wewe dai chanjo nzuri uchanjwe.
Ukishachanjwa, mostly, hata ukiambukizwa Corona hutaumwa.
Na muachie asiyetaka chanjo hata baada ya kuelimishwa asichanjwe, akipata Corona, alazwe, afe. Kizazi kijacho kipunguze wajinga. Wewe unataka wajinga wazidi wenye maarifa?
Haya mambo mengine ni natural selection tu inapunguza wajinga. Ukitaka kupigana nayo utaleta janga kubwa kuliko Covid.
Mtu ambaye hajali afya yake kiasi cha kukataa chanjo potentially ni janga kubwa kwa dunia na anaweza kuzalisha tatizo kubwa kuliko Covid. Kama anataka kufa, mwache afe. Kwa nininm unataka kulazimisha aishi?
Zaidi ya ukweli kwamba serikali haijatoa chanjo kwa wanaotaka, tatizo liko wapi?
Mtu akikataa chanjo kwa ujinga wake, wakati wewe chanjo imekukinga, wewe kinachokuuma nini?
Umeandika kama vile ndiyo kwanza umerejea duniani:
1. Sina hakika unayaokota kutoka wapi haya hapa chini kwenye blue?
"Marekani huwezi kuiepuka wewe mtwana kibweka. Hapa ulipo unatumia mtandao wa Marekani."
-- Au unamaanisha Marekani ni wewe na wewe ni Marekani?!
2. Hata hivyo nisiache kuyaweka hapa ambayo ndiyo yaliyo msingi wa mada hii. Haiyumkiniki hujayaona (pamoja na kuwemo kwenye uzi huu katika zaidi ya comments 80 kama yalivyo):
3. Uyaone vipi wewe ukiwa umejawa ujuaji uchwara au machozi ya mamba machoni?!
4. Wapi unapoona miye mtaka chanjo nikiwa nikiumia au kuwa na uchungu au furaha au kusherehekea au kulazimisha au kushadadia nk, kwa MPUMBAVU au MWEREVU awaye yote kuchanjwa au kutochanjwa?
5. Itoshe kukufahamisha kuwa, sioni jipya lolote katika yote uliyoandika. Labda unionyeshe wewe.
6. Kwa hakika umepwelewa. Huna hoja, wala agenda.
😂😂😂😂😂😂
Hiiiiii bagosha!
Kama taabu yako ni Hotuba ya Mh. Mbowe, hotuba yake iko huku wazi wazi:
Hotuba ya Mbowe Mwanza Ilivyopotoshwa ili Kuuficha Ukweli
Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1. Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na watu wanakufa nchini kote? 2. Kwamba wahanga hawa wanalazimika...
Upotoshwaji wa hotuba hiyo na hata sababu zake pia ziko huko.
Kukuweka sawa sawa zaidi, mada hii tuliyo nayo hapa inahusu haya:
Tafadhali jiridhishe kuwa uko kwenye mada sahihi ninapo kukaribisha tena duniani.