#COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Tena weye unatakiwa utandikwe na viboko vya shingoni hadi upate chanjo.😝😝😝😝😝
 
To be honest siko tayari kuchanjwa.......

Mkuu huo ni uchaguzi wako. Mapema kwa mwuungwana kama wewe niliandika hii:

Kwamba sana sana Mbowe hakuwa na haja ya kuingia huku kisiasa, lakini si morally au kiuhalisia.

Kwamba hata aliingia huku inaonesha ni kiwango kipi huyu bwana ni a real selfless individual.
 
Uganda na Rwanda hapana kuendekeza ujinga. Huko wala si ukuda bali utachezea kichapo!

Kumbuka ujinga si tusi. Ni suala la kutokuelewa tu. Ujinga dawa yake ni elimu dunia tu mkuu.

Huku kwetu tutabembelezana kwanza, ila baadaye kutakuwa na vikwazo hapa na pale. Mdogo mdogo tutafika tu.

Hiyo ndiyo sayansi ya chanjo.
 
Muulize ni nini kinachomfanya aikatae chanjo?
 
Umetoa mfano wa Uganda na Rwanda, ebu tuambie mpaka sasa ni asilimia ngapi huko Uganda na Rwanda wamepata hizo chanjo? halafu ndio nitaendelea na swali la ziada
 
Umetoa mfano wa Uganda na Rwanda, ebu tuambie mpaka sasa ni asilimia ngapi huko Uganda na Rwanda wamepata hizo chanjo? halafu ndio nitaendelea na swali la ziada
Kwa hiyo ukipewa asilimia ndiyo zitakuponya na maradhi?Pokea chanjo acha maroroso.😝😝😝😝
 
Ndio shida ya misukule unaulizwa Data unaleta porojo , Uganda na Rwanda asilimia ngapi wamepata chanjo?
Data haitokusaidia weye!Utakaa unasoma data za wenzio huku unapangusa makamasi ya korona?Kuwa mwerevu.Pata chanjo.Mambo ya Uganda na Rwanda watahesabiana huko.
 
Watanzania, kwanini mnaogopa chanjo? Mbona ni kitu cha kawaida tu!

Alafu hapo kwenye "lazima" watu wanadhani utafuatwa nyumbani na maaskari na nesi akuchome kwa nguvu. Ulazima wa chanjo ni masuala ya sera na mipango tu!
 
Data haitokusaidia weye!Utakaa unasoma data za wenzio huku unapangusa makamasi ya korona?Kuwa mwerevu.Pata chanjo.Mambo ya Uganda na Rwanda watahesabiana huko.
Kusaidia au kutokusaidia hiyo sio kazi yako, lete hapa Data acha mboyoyo watu kiasi gani Rwanda na Uganda wamepata chanjo?
 
Kusaidia au kutokusaidia hiyo sio kazi yako, lete hapa Data acha mboyoyo watu kiasi gani Rwanda na Uganda wamepata chanjo?
Sasa ukishapewa hizo namba ndiyo unataka upigie nyungu? Chawa ni chawa.😝😝😝😝😝
 
Sasa ukishapewa hizo namba ndiyo unataka upigie nyungu?Chawa ni chawa.😝😝😝😝😝
Ndio shida ya misukule nilishasema toka mwanzo nataka data ili niulize swali la ziada, badala yake Data hakuna unapuyanga tuuuu
 
Watanzania, kwanini mnaogopa chanjo? Mbona ni kitu cha kawaida tu!

Alafu hapo kwenye "lazima" watu wanadhani utafuatwa nyumbani na maaskari na nesi akuchome kwa nguvu. Ulazima wa chanjo ni masuala ya sera na mipango tu!
Jamaa waoga wa kudungwa sindano.Wanaweza hata kuhama nchi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…