#COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Kule kwetu kuna usemi kuwa ukicheza na mjinga atakulambisha kinyesi ,huyu TONDO mbowe anawalisha wapuuzi wanzake ujinga
 
Kule kwetu kuna usemi kuwa ukicheza na mjinga atakulambisha kinyesi ,huyu TONDO mbowe anawalisha wapuuzi wanzake ujinga
Mjomba wenu alikuwa na tunenoneno twa dharau hivyohivyo.Mwisho akafukiwa na kujengewa wigo wa mabati.
 
Hata ukipewa data hazitokusaidia.Endelea kupiga nyungu huku unapiga mikelele kama unabakwa.
Hata ukipewa data hazitokusaidia.Endelea kupiga nyungu huku unapiga mikelele kama unabakwa.
Hata nikila mavi afya ni Mali yangu mimi, ndio nyungu zimenisaidia wave ngapi zimepita niko ngangari? wewe ni msukule wa Mbowe huwezi kujitambua ,ndio maana mnatoa mfano wa nchi ambazo Data pia hamna
 
Hata nikila mavi afya ni Mali yangu mimi, ndio nyungu zimenisaidia wave ngapi zimepita niko ngangari? wewe ni msukule wa Mbowe huwezi kujitambua ,ndio maana mnatoa mfano wa nchi ambazo Data pia hamna
Kama unataka data kwa nini usimpigie simu Museveni au Kagame?
 
Mbowe na mtoa taarifa mnateseka mkiwa wapi.?

Huwa kuna maji mafupi na marefu.

Haya maji yamekuzidi kimo huyawezi.

"Kukataa ukanjanja na kutokea anga za baharini ni nadra sana kwenda pamoja." Wala huna haja ya kuzongwa na ule wivu alioutambua hayati Sitta.

Kwani wewe taarifa unazisoma wapi jomba?

😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Admin unganisheni huu Uzi na Uzi mama

Hakuna sababu ya multiple threads

Uzi huu ni tofauti na ndiyo maana uko hapa.

Inafahamika kuna watu kwa kutoelewa kwao au kuelewa kwao watakuwa na mawazo kama yako.

Pambana na uzi kwa hoja. Ukishindwa tulia hapo hapo dawa ikuingie.

Inafahamika sindano kuwa na uchungu wake.
 
Nipo nawe chanjo iwe lazima, huu uoga wa chanjo ni kama imani za kishirikina tu, wanaoogopa hawana tofauti na wale wanaosema ukipewa chanjo ya ugonjwa fulani unaweza usipate watoto, kwanini wanaweka mbele mawazo ya kupata madhara ya chanjo zaidi ya kuiogopa Corona yenyewe? naona wengi wanaiogopa chanjo zaidi ya kuiogopa Corona, hii ni ajabu kabisa.
 
Kabisa, nakubaliana nawe, hii nchi imejaa wajinga wengi sana, wanafuata mikumbo tu.
 
Kule kwetu kuna usemi kuwa ukicheza na mjinga atakulambisha kinyesi ,huyu TONDO mbowe anawalisha wapuuzi wanzake ujinga

Mkuu siyo kwenu tu hata sisi usemi huo upo:



Makosa ya Mbowe ni kutokuwa na ubinafsi akiwa kafiwa na ndugu yake, kuthubutu kupendekeza kuwapigania watu maisha yao hata kama ni kwa kutumia nguvu.

Ukizingatia kiwango cha upotoshaji uliopo, kuhusiana na ugonjwa, dhamana za wapotoshaji, na uelewa wa waliopotoshwa.

Kagame na Museveni ni madume sana. Zizini kwenye salama ng'ombe atakwenda hata kwa bakora.
 
Huko ni kukiuka haki za binadamu

Hakuna mahali hapa duniani wanafanya hivyo.

Mbowe Hajatumia busara katika hili.

Kaongea tu for the sake ya kumake headlines.

Huku kupenda kiki ni ugonjwa wa kudumu wa wanasiasa wetu.
 
kwanza chanjo ya nini na wakati mlituambia hakuna korona.alafu ujinga mwingine kama huu msiwe mnatuletea humu usikia we punguu
 
Kwenye chanjo:

Hoja ya Mbowe ina mashiko iwapo Corona ni existential threat ya Taifa au kama kuna uwezekano wa Wananchi wengi sana kufa kwa ugonjwa huo.

Tukifikia hatua hiyo hata hao wanaomponda Mbowe watapiga kelele wenyewe kuitaka serikali iharakishe upatikanaji wa chanjo
 
kwanza chanjo ya nini na wakati mlituambia hakuna korona.alafu ujinga mwingine kama huu msiwe mnatuletea humu usikia we punguu

Aliyekwambia korona hamna yuko Chatto nenda ukamwambie hayo.
 

Msingi wa hoja uko hapa:

1. Mbowe angeweza kuwa mbinafsi akanyamaza kama walivyo nyamaza wenye kutuaminisha ugonjwa haupo na watu hawafi.
2. Mbowe angeweza kuwa mbinafsi kuacha kuirejea sayansi ya chanjo inayohitaji ulazima wa idadi kubwa ya watu kuchanjwa kabla ya chanjo kuwa na manufaa kwa jamii.
3. Wote serikali na wenye uelewa wanafahamu ugonjwa upo na unauwa ila wako kimya (ubinafsi mkubwa).
4. Wote serikali na wenye uelewa wa sayansi ya chanjo wanaelewa ni lazima threshold inayotakiwa ichanjwe kwa jamii kunufaika na chanjo ila wako kimya (ubinafsi mkubwa).

Kwa hali hii basi Mbowe analaumiwa kwa kutokuwa mbinafsi.

Hiiiiii bagosha!
 
Uko sahihi, Mbowe ameweka mbele maslahi ya watu wengi, anaamini kwa dhati ili kunusuru uhai wa watu wengi basi wachanjwe
Na Mbowe Mwenyewe kaonyesha mfano kuwa hayuko kimanenomaneno tu yeye keshapokea chanjo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…