#COVID19 Chanjo ya Corona iwe lazima kwa baadhi ya makundi yanayotoa huduma za kijamii

#COVID19 Chanjo ya Corona iwe lazima kwa baadhi ya makundi yanayotoa huduma za kijamii

Basi hiyo kazi yako ya ukonda wa daladala acha utafute kazi nyingine utakayofanyia chumbani kwako na mkeo. Nina kijana wangu hapa ana miaka 9 japo uwezekano ni mdogo, lakini anaweza kuambukizwa Korona na mtu kama wewe
Bro, unalipwa kiasi gani kueneza upuuzi huu?
Nikuambie kitu, elimu uliyo soma imekusaidia kupata ajira tu, inayo fanya tumbo lako liwe kama birika ya chai, lakini haijakukwamua kimaarifa.
 
Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.

Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
Sasa kama umechanjwa ambao hawajachanjwa wanakuambukizaje tena
 
Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.

Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
Huwezi kumlazimisha mwanadamu mwenzako juu ya, Mustakabali wa mwili wake.
 
Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.

Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
upuuzi na pumbapumba 2.yan unilazmishe kupokea chanjo ambayo haina impacts na athali zake kimwl na kiroho kubwa. Kaa kwako.jisanitize na vaa barakoa hapo sawa.upuuz na ujinga wako wa kuchanja bila kufikiria uxtake iwe kila m2
 
Mkuu, hivi unajua tangu uzaliwe umeshafanyiwa chanjo ngapi? Na kitu gani kilikufanya uwe na imani na hizo chanjo lakini sio hii ya Korona, hadi kuwapeleka watoto wako wanapozaliwa kuchanjwa?..
Ndio tulichanjwa. Lakini chanjo unayopigia debe ni tofauti sana. Hivi hujiulizi juu hii chanjo ambayo hata waliowahi pokea Nobel Prize za sayansi wanatuhadharisha sisi hinadamu dhidi yake?

Ugonjwa wa kuambukiza dunia yote kwa mpigo haijawahi tokea. Sisi na Mungu Mungu wetu atatuvusha salama. Endelea na kampeni zako una faida unaipata.
 
Ww si umesha chanjwa, sasa hao ambao hawajachanja wanakuambukizaje😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Inasikitisha sana kuona watu wanavyobisha kwa furaha na kicheko bila kuelewa lolote kuhusu Covid-19.

Tatizo ni kwamba Covid-19 wana mutate kupitia watu ambao hawajachanjwa, kiasi kwamba inafikia wakati msiochanjwa mnawapa uwanja wa Covid-19 ku-mutate hadi wanafikia kuwaambukiza tena wale waliochanjwa kwa kuwa chanjo yao ilikuwa ni kwa Covid-19 ambaye alikuwa haja-mutate.

Kwa hiyo dawa ni watu wote kuchanja ili kutowapa Covid-19 hosts watakaowatumia ku-mutate. Ndio maana mnasikia juu ya South Africa variant, UK variant etc.

Tulipoanza na Covid-19, hatukuwa na Delta variant ya Covid-19. Delta ni Covid-19 ambaye ame-mutate kupitia wajinga ambao hawataki kuchanja. Kama dunia nzima tunhechanja kwa wakati mmoja, tusingekuwa na Covid-19 Delta. Na kadiri watu wanavochelewa ndivyo tutazidi kuwa na mutations zaidi za Covid-19, na kufikia ambapo chanjo zitakuwa hazisaidii tena.

Siku wakifa mama, baba, watoto, dada, kaka zenu, ndio mtajua uchungu wa Covid-19. Kwa sasa chekeni sana.

Kwa nini mnakuwa wabishi bila kusumbua akili zetu kuelewa mambo kwanza?
 
Jamani wilaya niliopo sijashudia kisa chochote cha Covid 19, sio wimbi la kwanza, lapili wala hili la tatu, kwahiyo huwa na jiuliza hiyo Corona inatuogopa watu wa maeneo haya niliyopo?
Mmepimwa mkaona hamna Covid-19? Tafuta maana ya Covid-19 asymptomatic people, ukielewa maana yake rudi ujibu.
 
Bro, unalipwa kiasi gani kueneza upuuzi huu?
Nikuambie kitu, elimu uliyo soma imekusaidia kupata ajira tu, inayo fanya tumbo lako liwe kama birika ya chai, lakini haijakukwamua kimaarifa.
Nahisi kuna siku humu tutaona tanzia juu yako wewe kama mwana JF - mwenzetu kafa kwa matatizo ya kupumua. Kwa mtazamo wako huu ni suala la muda tu.
 
Inasikitisha sana kuona watu wanavyobisha kwa furaha na kicheko bila kuelewa lolote kuhusu Covid-19.

Tatizo ni kwamba Covid-19 wana mutate kupitia watu ambao hawajachanjwa, kiasi kwamba inafikia wakati msiochanjwa mnawapa uwanja wa Covid-19 ku-mutate hadi wanafikia kuwaambukiza tena wale waliochanjwa kwa kuwa chanjo yao ilikuwa ni kwa Covid-19 ambaye alikuwa haja-mutate...
acha uongo bhanaaaa, tulia tu, endelea na maisha yako.
 
Nahisi kuna siku humu tutaona tanzia juu yako wewe kama mwana JF - mwenzetu kafa kwa matatizo ya kupumua. Kwa mtazamo wako huu ni suala la muda tu.
Nawewe utulie uchanjwe, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Waache wenzako waendelee na maisha yao.
 
Huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi kama siyo mchawi basi ni freemason. Utalazimishaje mtu kufanya unachoamini wewe?. Wasilikizie waliochanja!
 
Nawewe utulie uchanjwe, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Waache wenzako waendelee na maisha yao.
Kwa uzembe na hii mentality, lazima itakuwa wanaendelea na maisha yao kuelekea kufa kwa Korona

Kuna watu tutapata chanjo ya Corona, na wengine mtapata chinjo la Corona
 
Eh katiba tena
CDM nako washaanza kuwakata vichwa?.
Huelewi. Swali lililoulizwa ni kitu gani kitafanya watu walazimishwe kupewa chanjo ya Corona? Ndio nikasema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabidi uwe na akili kubwa kuelewa jibu langu la sivyo utakimbilia kwenye suala la Chadema na Katiba kwa kuwa hufikirii nje ya boksi
 
Back
Top Bottom