Bro, unalipwa kiasi gani kueneza upuuzi huu?Basi hiyo kazi yako ya ukonda wa daladala acha utafute kazi nyingine utakayofanyia chumbani kwako na mkeo. Nina kijana wangu hapa ana miaka 9 japo uwezekano ni mdogo, lakini anaweza kuambukizwa Korona na mtu kama wewe
Hapo sasa.Sasa kama mtu aliyepata chanjo anaweza kupata maambukizi kwa mtu ambaye hajachanjwa kuna haja gani ya kupata hiyo chanjo..........
Sasa kama umechanjwa ambao hawajachanjwa wanakuambukizaje tenaChanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.
Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
Huwezi kumlazimisha mwanadamu mwenzako juu ya, Mustakabali wa mwili wake.Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.
Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
Ww si umesha chanjwa, sasa hao ambao hawajachanja wanakuambukizajeπππππππππππSasa kama umechanjwa ambao hawajachanjwa wanakuambukizaje tena
Eh katiba tenaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
upuuzi na pumbapumba 2.yan unilazmishe kupokea chanjo ambayo haina impacts na athali zake kimwl na kiroho kubwa. Kaa kwako.jisanitize na vaa barakoa hapo sawa.upuuz na ujinga wako wa kuchanja bila kufikiria uxtake iwe kila m2Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.
Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika kuwa kwao huru na kutofanyiwa bugudha za kimaisha...
Ndio tulichanjwa. Lakini chanjo unayopigia debe ni tofauti sana. Hivi hujiulizi juu hii chanjo ambayo hata waliowahi pokea Nobel Prize za sayansi wanatuhadharisha sisi hinadamu dhidi yake?Mkuu, hivi unajua tangu uzaliwe umeshafanyiwa chanjo ngapi? Na kitu gani kilikufanya uwe na imani na hizo chanjo lakini sio hii ya Korona, hadi kuwapeleka watoto wako wanapozaliwa kuchanjwa?..
Jaribu kuwa shoga uone, japo ni mustakabadhi wa mwili wako!Huwezi kumlazimisha mwanadamu mwenzako juu ya, Mustakabali wa mwili wake.
Inasikitisha sana kuona watu wanavyobisha kwa furaha na kicheko bila kuelewa lolote kuhusu Covid-19.Ww si umesha chanjwa, sasa hao ambao hawajachanja wanakuambukizajeπππππππππππ
Unajua, karma itakupa Covid-19. Suala ni kama utakufa au atapona. Tusubiri.Eh katiba tena
CDM nako washaanza kuwakata vichwa?.
Mmepimwa mkaona hamna Covid-19? Tafuta maana ya Covid-19 asymptomatic people, ukielewa maana yake rudi ujibu.Jamani wilaya niliopo sijashudia kisa chochote cha Covid 19, sio wimbi la kwanza, lapili wala hili la tatu, kwahiyo huwa na jiuliza hiyo Corona inatuogopa watu wa maeneo haya niliyopo?
Nahisi kuna siku humu tutaona tanzia juu yako wewe kama mwana JF - mwenzetu kafa kwa matatizo ya kupumua. Kwa mtazamo wako huu ni suala la muda tu.Bro, unalipwa kiasi gani kueneza upuuzi huu?
Nikuambie kitu, elimu uliyo soma imekusaidia kupata ajira tu, inayo fanya tumbo lako liwe kama birika ya chai, lakini haijakukwamua kimaarifa.
acha uongo bhanaaaa, tulia tu, endelea na maisha yako.Inasikitisha sana kuona watu wanavyobisha kwa furaha na kicheko bila kuelewa lolote kuhusu Covid-19.
Tatizo ni kwamba Covid-19 wana mutate kupitia watu ambao hawajachanjwa, kiasi kwamba inafikia wakati msiochanjwa mnawapa uwanja wa Covid-19 ku-mutate hadi wanafikia kuwaambukiza tena wale waliochanjwa kwa kuwa chanjo yao ilikuwa ni kwa Covid-19 ambaye alikuwa haja-mutate...
Nawewe utulie uchanjwe, πππππππππππ. Waache wenzako waendelee na maisha yao.Nahisi kuna siku humu tutaona tanzia juu yako wewe kama mwana JF - mwenzetu kafa kwa matatizo ya kupumua. Kwa mtazamo wako huu ni suala la muda tu.
Kwa uzembe na hii mentality, lazima itakuwa wanaendelea na maisha yao kuelekea kufa kwa KoronaNawewe utulie uchanjwe, πππππππππππ. Waache wenzako waendelee na maisha yao.
Kuna siku utakumbuka maneno yangu, na wala si mbaliacha uongo bhanaaaa, tulia tu, endelea na maisha yako.
Huelewi. Swali lililoulizwa ni kitu gani kitafanya watu walazimishwe kupewa chanjo ya Corona? Ndio nikasema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabidi uwe na akili kubwa kuelewa jibu langu la sivyo utakimbilia kwenye suala la Chadema na Katiba kwa kuwa hufikirii nje ya boksiEh katiba tena
CDM nako washaanza kuwakata vichwa?.