Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Umeshaambiwa kuchanja ni hiari yako, kwani kuna mtu analazimishwa?

Japo kuna mazingira fulani yataweza kukutaka uwe na chanjo, hilo litakuwa juu yako muhusika kwenye bandari ya bagamoyo upinge kwenye chanjo upinge, yaani MWENDAZAKE MASALIA, kila akifanyacho mama hayataki!

Basi bora mmfuate huko, au muhame nchi tu, kwani kwasasa hakuna namna, na mtaumia sana mpango wa COVAX, tayari uko kwenye pipe, mwezi ujao dose zinaingia watakaopenda watachanjwa.
 
Nenda gengeni ukale kama hujala mchana huu wewe haya mambo yamekuzidi kimo acha kutoa mawazo fyongo hapa. Dunia nzima wanachanja, kuanzia Western countries mpaka Asia bial kusahau warusi nk na soon robo tatu ta dunia itakuwa imechanjwa halafu wewe ambaye upeo wako hauna tofauti na kima unaleta bla bla bla zako hapa. Acha chanjo ije kama wewe hutaki kuchanja achia wenye akili wachanje.
 
Chadema ni kirusi hatari katika nchi hii

Hawa Chadema huwa mnakutana nao wapi mjomba?

Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.

Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Umesikiwa. Una kila haki ya kukataa chanjo ili mradi usituzuie sisi ambao tunaitaka kupata.

Btw, hayo yote ulioyasema yamezungumzwa sana na majibu yake yapo humo humo ulipoyatoa. Rais amesema kama unaamini nyungu ruksa, kama hautaki ruksa na kama unataka ni ruksa.

Akili mukichwa.

Amandla...

Tena wengine tuna ndugu zetu wanaoishi huko nje tayari wamechanjwa na wengine wamekuja juzi tu kututembelea, hawana wasi wasi.
Hakuna kisicho na madhara ila muhimu ni kupima faida na hasara - then, kama alivyosema rais, fanya maamuzi wewe mwenyewe.
 
Nenda gengeni ukale kama hujala mchana huu wewe haya mambo yamekuzidi kimo acha kutoa mawazo fyongo hapa. Dunia nzima wanachanja, kuanzia Western countries mpaka Asia bial kusahau warusi nk na soon robo tatu ta dunia itakuwa imechanjwa halafu wewe ambaye upeo wako hauna tofauti na kima unaleta bla bla bla zako hapa. Acha chanjo ije kama wewe hutaki kuchanja achia wenye akili wachanje.
Naamini hatakuelewa na hata kama atakuelewa, hatakubaliana na wewe.

Mnakataa chanjo za corona, mnakubali za kifua kikuu, pepo punda, surua, ebola nk. Eti zimetumia muda mfupi kutengenezwa, hivi mnajua chano ya ebola iliyoiokoa Africa Magharibi na janga hili ilifanyiwa utafiti miaka mingapi? Kwa taarifa zetu ilianza kutumika wakati bado iko kwenye utafiti.

Hivi dawa za malaria hazina madhara? Dawa na presha, sukari nk. hazina madhara? Hata za mivyoo walizopewa vijana wetu juzi hazikuwa na madhara?
 
Unaweza kujenga hoja kwa namba?

Weka chanjo gani ina matatizo gani, hususan blood clots.

Weka wangapi wamepata hizo chanjo.

Wangapi wamepata blood clots.

Wangapi wamefariki kwa blood clots.

Halafu, linganisha na vifo vitakavyotokea kwa watu wa idadi hiyohiyo ambao hawatachanjwa kwa kuogopa blood clots.
 
Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.

Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Wewe una uhakika gani kuwa wanachoma kitu kingine na siyo chanjo ya covid? Wewe ndiye unayewacoma Marais wote hizo chanjo feki? Chanjo zimepunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya Covid huko USA na maeneo mengine Duniani. Acha uongo wa kishamba wewe.
 
Ohooo haya ndo madhara ya kunywa kvant ukiwa huna uhakika Wa msosi.
Uhakika wa kula na Kunywa kwangu upo Tena kwa taarifa yako mwezi huu sirikali tukufu ya CCM imenipandisha daraja Mimi na mke wangu, CCM itatawala milele .
 
Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.

Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Zinaitwa Placebos.
 
Naamini hatakuelewa na hata kama atakuelewa, hatakubaliana na wewe.

Mnakataa chanjo za corona, mnakubali za kifua kikuu, pepo punda, surua, ebola nk. Eti zimetumia muda mfupi kutengenezwa, hivi mnajua chano ya ebola iliyoiokoa Africa Magharibi na janga hili ilifanyiwa utafiti miaka mingapi? Kwa taarifa zetu ilianza kutumika wakati bado iko kwenye utafiti.

Hivi dawa za malaria hazina madhara? Dawa na presha, sukari nk. hazina madhara? Hata za mivyoo walizopewa vijana wetu juzi hazikuwa na madhara?
Asante sana mkuu, ila kuna watu wabishi sana hapa jukwaani.

Sijui wamelishwa nini?

Wanaigomea chanjo lakini hawana hata maabara ya utafiti.

Kazi yao kubwa ni kusikiliza nani kasema nini basi.
 
Back
Top Bottom