Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Tusipotezeane muda na hiyo biology yako ya Form VI. Hakuna mtu analazimishwa chanjo. Usiwazuie walio tayari wewe endelea na maisha yako kama Mwendazake. Period

Kila mtu ashinde mechi zake
Huna akili wala uelewa wa kuni challenge kwenye hili, nenda kwanza shule.
 
Nenda gengeni ukale kama hujala mchana huu wewe haya mambo yamekuzidi kimo acha kutoa mawazo fyongo hapa. Dunia nzima wanachanja, kuanzia Western countries mpaka Asia bial kusahau warusi nk na soon robo tatu ta dunia itakuwa imechanjwa halafu wewe ambaye upeo wako hauna tofauti na kima unaleta bla bla bla zako hapa. Acha chanjo ije kama wewe hutaki kuchanja achia wenye akili wachanje.
Huna uelewa wowote wa kuijibu hii hoja, endelea na story za chifu mangungo wa msovero.
 
jamiiforums~p~CQqe4Z4t766~1.jpg
 
Kwani chanjo zote zina hilo tatizo?
Chanjo zinazotumia teknolojia ya mRNA ndo hasa zinatengenezwa na mabeberu, na ndo zilizo na ma-upupu mengi haya....ile ya urusi na china zinaweza ziwe na baadhi ya shida chache kama zilivyoelezwa. Ndo maana swala la kuzingatia teknolojia iliyotumika kutengeneza hizo chanjo ni la muhimu kuweza kukwepa baadhi ya madhara...
 
Sasa vya bure ni gharama,wanaojiita wataalamu wa kushauri mambo ya Afya ya umma wameshauri kujiunga na mpango wa kupewa vya bure wa covax ambako ndio kuna hizo chanjo zenye shida na wanakotufanyia test.

WHO ya mabeberu imeidhinisha chanjo 4 tuu Kati ya 9,,hizo 4 ni za mabeberu yaani Marekani na Ulaya,za China,Urus,Iran,Cuba nk hazina ithibati ya hao mbuzi wa WHO.Jana wamezingua kutoa vibali vya usafiri kama umechanjwa chanjo ya India japo wao ndio walitoa ithibati itengenezwe
 
Kwa majibu kama hayo sijui hata kwanini Mama samia anasema anasubiri wataalamu wamwambie chanjo ipi inafaa? maana hao wanaotaka chanjo wao hata hawajali kuhusu chanjo ipi inafaa wao wanataka kuchanjwa tu ilimradi ni hiari basi wao washakubali kuchanjwa tu.
Between the two evils, I go for the lesser. Hiyo ndiyo principle yetu. Maana yake ni kwamba;

1. COVID19 inaua kama huna kinga/ chanjo
Au
2. Ukiwa umechanja inaweza kukuletea complications zinazoweza kukusababisha kufa

Ni hivyo tu ndiyo Logic ya wanaotaka kuchanjwa, wamechagua a LESSER EVIL"
 
Ukweli unaweza TOKA hata ktk kinywa cha mwendawazimu sembuse form6,tulieni mkapange foleni mchanjwe mridhishe vichwa vyenu vya panzi
Kwanini unakwazika wewe wakati sisi ndiyo tutapanga foleni ya kuchanjwa? Kutiwa atiwe mwingine wewe ndiyo usikie utamu
 
Umeshaambiwa kuchanja ni hiari yako, kwani kuna mtu analazimishwa?

Japo kuna mazingira fulani yataweza kukutaka uwe na chanjo, hilo litakuwa juu yako muhusika kwenye bandari ya bagamoyo upinge kwenye chanjo upinge, yaani MWENDAZAKE MASALIA, kila akifanyacho mama hayataki!

Basi bora mmfuate huko, au muhame nchi tu, kwani kwasasa hakuna namna, na mtaumia sana mpango wa COVAX, tayari uko kwenye pipe, mwezi ujao dose zinaingia watakaopenda watachanjwa.
Dogo una Magufuliphilia,usipomtaja unakufa.
 
Tusipotezeane muda na hiyo biology yako ya Form VI. Hakuna mtu analazimishwa chanjo. Usiwazuie walio tayari wewe endelea na maisha yako kama Mwendazake. Period

Kila mtu ashinde mechi zake
Unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

Wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

Kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
 
Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.

Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Wajinga popote pale duniani wapo hata mbinguni kwa hiyo hata wewe ni mmoja wao wa wale wajinga, tumekusamehe bure
 
Kwa majibu kama hayo sijui hata kwanini Mama samia anasema anasubiri wataalamu wamwambie chanjo ipi inafaa? maana hao wanaotaka chanjo wao hata hawajali kuhusu chanjo ipi inafaa wao wanataka kuchanjwa tu ilimradi ni hiari basi wao washakubali kuchanjwa tu.
Kwani umelazimishwa mjomba mbona povu linakutoka, sigara imeandikwa hatari kwa afya yako na bado inauzwa na watu wanavuta si hiari yao sasa wewe povu la nini, hutaki acha sisi tunaotaka acha damu zigande 😅😅😅
 
unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
Tupo tayari kama wewe hutaki acha
 
Tupo tayari kama wewe hutaki acha
mtachoma ipi sasa,maana naskia ukichoma nyingi zaidi kinga inaimarika zaidi[emoji16][emoji16].

kuna binaadamu wanatumia akili kawaida kabisa,halafu kuna guinea pigs.hawa huishi kwa akili za anayewaongoza.
 
Sisi tunamtegemea mungu na hatujawahi kushindwa, Mwendazake ahadi yake ilifika na wewe itakufikia tu so tuliza matak**o
Na sisi tutamtegemea Mungu ili damu zisigande 😅😅😅😅
 
mtachoma ipi sasa,maana naskia ukichoma nyingi zaidi kinga inaimarika zaidi[emoji16][emoji16].

kuna binaadamu wanatumia akili kawaida kabisa,halafu kuna guinea pigs.hawa huishi kwa akili za anayewaongoza.
Zozote tutachoma tu kama wewe hutaki hama nchi ila chanjo lazima zije utake usitake, mambo ya kupangiana afya zetu iliisha 17 March
 
Habari ndugu wanaJF,

Jana kwenye mkutano wa rais na wanahabari nilimsikia akiongea confidently kuhusu kuagiza na kuanza kutumia chanjo za covid. Ieleweke kwamba hizo chanjo zilitolewa kwa dharura bila conclusive data za kitafiti na baadhi ya madhara ya muda mfupi yaliyokwishatokea ni kuganda kwa damu (blood clots), kushuka kwa kiwango cha chembechembe nyeupe za damu zinazohusika na kuganda kwa damu 'platelets' na kusababisha tatizo linalojulikana kitaalamu kama 'thrombocytopenia' matatizo ya mzio 'autoimmunity' ambapo chembe chembe za kinga zinashambulia viungo vya mwili na hii ikitokea kwenye viungo muhimu kama figo, ini na ubongo inaweza kupelekea vishindwe kabisa kufanya kazi 'organ failure'.

Hivi karibuni shirika la kuthibiti magonjwa la marekani CDC limeripoti kuongezeka kwa cases zinazoonyesha athari kwenye misuli ya moyo 'myocarditis' na hata kwenye kiwambo kinachozunguka moyo 'pericarditis' kwa vijana na watoto waliochanjwa chanjo ya korona inayotumia teknolojia ya mRNA. Pia, uchambuzi wa kitaalamu uliotolewa hivi karibuni umeonyesha ndani ya masaa 48 kibebeo cha chanjo inapodungwa mwilini 'lipid nanoparticles' kimeonekana hasa kwenye vifuko vya mayai kwa wanawake 'ovaries' na kwenye uboho wa mifupa 'bone marrow' jambo ambalo siyo la kawaida na linaweza kusababisha shida za uzazi kwa akina mama na matatizo ya kansa za damu 'leukemias' 'lymphomas' na ukizingatia hizi shida za kansa, madhara ya uzazi na hata mzio 'autoimmunity' zinaweza kuchukua muda mrefu hata miaka zaidi ya mitatu kudhihirika.

Je, wataalamu wamemshauri rais kwa kuzingatia utaalamu na up-to-date information zinazotolewa kuhusu madhara ya hizo chanjo? au wameamua tu kutoa ushauri unaoendeshwa na upepo wa ngoma inavyochezwa huko duniani kuhusiana na huu ugonjwa wa covid.

Mimi ningeshauri zitumike zaidi njia za kujikinga badala ya kuhimiza kampeni za chanjo ambayo ipo kwenye utafiti, kwa sababu ukishachanja hakuna namna ya kuondoa hiyo chanjo mwilini, kinachobaki inakuwa ni kupambana na madhara yanayoweza kutokea ndani ya muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu.

Nawasilisha.​
Kaka unatunia mtambo wa kisasa, pia unarudia maneno uliyosikia. Sasa naomba utumie akili ya wastani:
  • Je unajua watu mabilioni wameshapokea chanjo ile?
  • Je unajua nchi nyingi duniani wametumia pesa nyingi kugharamia watu wengi wapate chanjo?
  • Je unajua mabilioni za fedha (chagua dollar / euro) zimeshatumika kwa utafiti kwa chanjo na matokeo yake?
  • Je unajua watu mamilioni wanasubiri kwa hamu kupata nafasi yao wakisubiri chanjo?
  • Je unaamini kweli nchi za viwanda (kama Asia, Ulaya, Amerika) zinaongozwa na wajinga wanaotaka kuua wananchi wao?
  • je umeshawahi kuangalia data za chanjo mbalimbali (jinsi zilivyo kawaida TZ) na kujifunza KILA CHANJO ina madhara chache pamoja na faida nyingi?

Kwa hiyo ninakuuliza: Je unatumia data gani kutuaminisha chanjo hiyo ina madhara zaidi kuliko chanjo hizo zote ambazo ni kawaida TZ? KAMA UNAYO: BASI LETE!!!

Kama huna: kwa nini usisubiri kidogo na kujielimisha kwanza???
 
Kama huna: kwa nini usubiri kidodogo na kujielimisha kwanza???
Nashukuru kwa kuchangia.....ngoja tusubiri wenye uelewa zaidi wa hiki nilichowasilisha hapa nao waje na maoni yao...
 
Back
Top Bottom