Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kwahiyo hapa rais anawauza raia wake?Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
We call it "PLACEBO"Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Chadema ni kirusi hatari katika nchi hii
Umesikiwa. Una kila haki ya kukataa chanjo ili mradi usituzuie sisi ambao tunaitaka kupata.Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Naamini hatakuelewa na hata kama atakuelewa, hatakubaliana na wewe.Nenda gengeni ukale kama hujala mchana huu wewe haya mambo yamekuzidi kimo acha kutoa mawazo fyongo hapa. Dunia nzima wanachanja, kuanzia Western countries mpaka Asia bial kusahau warusi nk na soon robo tatu ta dunia itakuwa imechanjwa halafu wewe ambaye upeo wako hauna tofauti na kima unaleta bla bla bla zako hapa. Acha chanjo ije kama wewe hutaki kuchanja achia wenye akili wachanje.
Wewe una uhakika gani kuwa wanachoma kitu kingine na siyo chanjo ya covid? Wewe ndiye unayewacoma Marais wote hizo chanjo feki? Chanjo zimepunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya Covid huko USA na maeneo mengine Duniani. Acha uongo wa kishamba wewe.Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Uhakika wa kula na Kunywa kwangu upo Tena kwa taarifa yako mwezi huu sirikali tukufu ya CCM imenipandisha daraja Mimi na mke wangu, CCM itatawala milele .Ohooo haya ndo madhara ya kunywa kvant ukiwa huna uhakika Wa msosi.
Zinaitwa Placebos.Marais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Kama una mke basi mshukuru Mungu sana.Uhakika wa kula na Kunywa kwangu upo Tena kwa taarifa yako mwezi huu sirikali tukufu ya CCM imenipandisha daraja Mimi na mke wangu, CCM itatawala milele .
Sio mke tu Bali ninawake,na ikiwezekana na wewe mwaka huu ntakuwowa!Kama una mke basi mshukuru Mungu sana.
Mi siwezi kuolewa na fala anevaa deraa LA green.Sio mke tu Bali ninawake,na ikiwezekana na wewe mwaka huu ntakuwowa!
Asante sana mkuu, ila kuna watu wabishi sana hapa jukwaani.Naamini hatakuelewa na hata kama atakuelewa, hatakubaliana na wewe.
Mnakataa chanjo za corona, mnakubali za kifua kikuu, pepo punda, surua, ebola nk. Eti zimetumia muda mfupi kutengenezwa, hivi mnajua chano ya ebola iliyoiokoa Africa Magharibi na janga hili ilifanyiwa utafiti miaka mingapi? Kwa taarifa zetu ilianza kutumika wakati bado iko kwenye utafiti.
Hivi dawa za malaria hazina madhara? Dawa na presha, sukari nk. hazina madhara? Hata za mivyoo walizopewa vijana wetu juzi hazikuwa na madhara?