Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Tusipotezeane muda na hiyo biology yako ya Form VI. Hakuna mtu analazimishwa chanjo. Usiwazuie walio tayari wewe endelea na maisha yako kama Mwendazake. Period

Kila mtu ashinde mechi zake
Huna akili wala uelewa wa kuni challenge kwenye hili, nenda kwanza shule.
 
Huna uelewa wowote wa kuijibu hii hoja, endelea na story za chifu mangungo wa msovero.
 
Kwani chanjo zote zina hilo tatizo?
Chanjo zinazotumia teknolojia ya mRNA ndo hasa zinatengenezwa na mabeberu, na ndo zilizo na ma-upupu mengi haya....ile ya urusi na china zinaweza ziwe na baadhi ya shida chache kama zilivyoelezwa. Ndo maana swala la kuzingatia teknolojia iliyotumika kutengeneza hizo chanjo ni la muhimu kuweza kukwepa baadhi ya madhara...
 
Sasa vya bure ni gharama,wanaojiita wataalamu wa kushauri mambo ya Afya ya umma wameshauri kujiunga na mpango wa kupewa vya bure wa covax ambako ndio kuna hizo chanjo zenye shida na wanakotufanyia test.

WHO ya mabeberu imeidhinisha chanjo 4 tuu Kati ya 9,,hizo 4 ni za mabeberu yaani Marekani na Ulaya,za China,Urus,Iran,Cuba nk hazina ithibati ya hao mbuzi wa WHO.Jana wamezingua kutoa vibali vya usafiri kama umechanjwa chanjo ya India japo wao ndio walitoa ithibati itengenezwe
 
Between the two evils, I go for the lesser. Hiyo ndiyo principle yetu. Maana yake ni kwamba;

1. COVID19 inaua kama huna kinga/ chanjo
Au
2. Ukiwa umechanja inaweza kukuletea complications zinazoweza kukusababisha kufa

Ni hivyo tu ndiyo Logic ya wanaotaka kuchanjwa, wamechagua a LESSER EVIL"
 
Ukweli unaweza TOKA hata ktk kinywa cha mwendawazimu sembuse form6,tulieni mkapange foleni mchanjwe mridhishe vichwa vyenu vya panzi
Kwanini unakwazika wewe wakati sisi ndiyo tutapanga foleni ya kuchanjwa? Kutiwa atiwe mwingine wewe ndiyo usikie utamu
 
Dogo una Magufuliphilia,usipomtaja unakufa.
 
Tusipotezeane muda na hiyo biology yako ya Form VI. Hakuna mtu analazimishwa chanjo. Usiwazuie walio tayari wewe endelea na maisha yako kama Mwendazake. Period

Kila mtu ashinde mechi zake
Unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

Wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

Kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
 
Wajinga popote pale duniani wapo hata mbinguni kwa hiyo hata wewe ni mmoja wao wa wale wajinga, tumekusamehe bure
 
Kwani umelazimishwa mjomba mbona povu linakutoka, sigara imeandikwa hatari kwa afya yako na bado inauzwa na watu wanavuta si hiari yao sasa wewe povu la nini, hutaki acha sisi tunaotaka acha damu zigande πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
Tupo tayari kama wewe hutaki acha
 
Tupo tayari kama wewe hutaki acha
mtachoma ipi sasa,maana naskia ukichoma nyingi zaidi kinga inaimarika zaidi[emoji16][emoji16].

kuna binaadamu wanatumia akili kawaida kabisa,halafu kuna guinea pigs.hawa huishi kwa akili za anayewaongoza.
 
Sisi tunamtegemea mungu na hatujawahi kushindwa, Mwendazake ahadi yake ilifika na wewe itakufikia tu so tuliza matak**o
Na sisi tutamtegemea Mungu ili damu zisigande πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
mtachoma ipi sasa,maana naskia ukichoma nyingi zaidi kinga inaimarika zaidi[emoji16][emoji16].

kuna binaadamu wanatumia akili kawaida kabisa,halafu kuna guinea pigs.hawa huishi kwa akili za anayewaongoza.
Zozote tutachoma tu kama wewe hutaki hama nchi ila chanjo lazima zije utake usitake, mambo ya kupangiana afya zetu iliisha 17 March
 
Kaka unatunia mtambo wa kisasa, pia unarudia maneno uliyosikia. Sasa naomba utumie akili ya wastani:
  • Je unajua watu mabilioni wameshapokea chanjo ile?
  • Je unajua nchi nyingi duniani wametumia pesa nyingi kugharamia watu wengi wapate chanjo?
  • Je unajua mabilioni za fedha (chagua dollar / euro) zimeshatumika kwa utafiti kwa chanjo na matokeo yake?
  • Je unajua watu mamilioni wanasubiri kwa hamu kupata nafasi yao wakisubiri chanjo?
  • Je unaamini kweli nchi za viwanda (kama Asia, Ulaya, Amerika) zinaongozwa na wajinga wanaotaka kuua wananchi wao?
  • je umeshawahi kuangalia data za chanjo mbalimbali (jinsi zilivyo kawaida TZ) na kujifunza KILA CHANJO ina madhara chache pamoja na faida nyingi?

Kwa hiyo ninakuuliza: Je unatumia data gani kutuaminisha chanjo hiyo ina madhara zaidi kuliko chanjo hizo zote ambazo ni kawaida TZ? KAMA UNAYO: BASI LETE!!!

Kama huna: kwa nini usisubiri kidogo na kujielimisha kwanza???
 
Nashukuru kwa kuchangia.....ngoja tusubiri wenye uelewa zaidi wa hiki nilichowasilisha hapa nao waje na maoni yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…