Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Utawaona wapi mkuu...ama utaletewa takwimu na ofisi za serikali...kila la heri
Watu wanakufa kila siku mkuu.

Leo kuna mazishi mtu kaondoka kwa changamoto za kupumua katika ukoo wangu.

Juzi nimetuma rambirambi.

Usifikiri naongea malumbano ya kifalsafa tu.
 
Kaka si vile unavyosema. Mbona unatumia lugha ya uvumi?? "nchi zingine wataalamu wameomba zistop... ni wanasayansi wa nchi za ulaya".
Si kweli. Sema: Nchi gani, nani (wana majina), tarehe gani? Marejeo? Kuhusu chanjo gani??
Magu alipinga chanjo kwa ujumla.
Simjui mtaalamu wa Ulaya anayepinga chanjo za Corona kwa ujumla. Hayupo.
Wamewahi kujadili matumizi maalumu kwa chanji hiyo au hiyo.... Unaweza kufuatilia (ukitafuta habari mwenyewe) majadiliano kama astra zeneca inafaa kwa vijana, hasa wanawake..... Au kama Biontech inafaa kwa watu wenye matatizo maalumu ya afya..... au kama chanjo fulani inakinga kweli au kwa kiasi gani... au kama inafaa kwa aina mpya za Covid-19, hasa aina ya Delta...
Lakini yale unayodai - hayakutokea!
 
Ni kwa sababu hujaipata Corona ndio unaropokwa hivi
 
Ukweli unaweza TOKA hata ktk kinywa cha mwendawazimu sembuse form6, tulieni mkapange foleni mchanjwe mridhishe vichwa vyenu vya panzi
Unatamba kwa vile hujaipata Corona wala Hakuna jamaa yako aliipata, siku mtakapopambana ndipo utaitafuta Kama Lulu baharini, Time Will tell you
 
Unatamba kwa vile hujaipata Corona wala Hakuna jamaa yako aliipata, siku mtakapopambana ndipo utaitafuta Kama Lulu baharini, Time Will tell you
Imenitandika haswaaaa mwaka Jana mwezi wa5,Na nilikua nakaa home MAWAZO tele najificha Yani kuna siku nilikua nadondoka nakosa pumzika kabisaa,Brothernilivyoanza kudhurula mara Tabatha,mikocheni mpaka Mbagala kuona jinsi watu wanavyojichanganya believe me ndani ya week2 namshukuru Allah nilikaa sawa sanaaaa.

Hizi njia za kujitenga na stress Zina mchango mkubwa ktk kushusha Kinga mwili.
 
Kiongozi uko vizuri sana katika ufuatiliaji, hasa kwa namna ulivyoandika mada yako. Lakini niseme labda kwa bahati mbaya umejikitika kwenye upotoshaji zaidi.
Kwa kawaida dawa/chanjo za aina zote hazikosi madhara kwa watumiaji. Kitaalamu sindano ndio njia salama zaidi ya kimatibabu/kinga kuliko kumeza vidonge, je umefuatilia madhara ya dawa zinazotajwa ni salama kwa matumizi ya binadamu jinsi zinavyo haribu ini/figo? Kwa mfano asilimia kubwa ya madawa yanayotibu baadhi ya saratani ni sumu mbaya sana mwilini, wakati wa matumizi mtumiaji anapoteza nywele zote kichwani na kubaki kipara, na wakati wa matumizi ama baada ya matumizi maini na figo za mtumiaji wa madawa hayo zitahitaji kutibiwa/kusafishwa, bila ya hivyo mtu ndio kwishney.

Tukija kwenje chanjo za corona ni kweli kuna madhara ambayo yamepelekea hata vifo kwa wengine, na madhara ni mengi yakiwemo na uliyo yataja kwenye mada yako.
Lakini kuna wakati wataalamu wanagundua madhara baada ya dawa/chanjo kutumika. Baada ya kugundulika madhara kwenye chanjo za corona, wameweka utaratibu wa kukupatia orodha ya madhara unayo weza kuyapata kabla hujachomwa sindano ya chanjo, na pia hatua za kuchukua ukiona dalili yoyote kati ya zile walizo orodhesha kwa sababu ni athari ambazo zinatibika.
Kwa kuwa wataalamu wamesha ligundua hilo ndio maana serikali zimeliweka suala la chanjo ya corona ni hiyari ya mtu kuchagua kuchoma ama kuto kuchoma.
Kwa mantiki hiyo Raisi hawezi kukurupuka kwa jambo zito kama hilil, ni wazi amesha elezwa na wataalamu kuhusiana na chanjo ya corona.

Hivyo acheni Raisi alete chanjo na kila mtu awe na maamuzi yake.
 
Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.
 
Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.
Kaka usiite maelezo blabla kama mwenyewe huna kitu cha kuonyesha. Sema chanjo kipi haikukamilisha hatua zake? Onyesha kama unajua kitu kuna hatua gani? Watu wangapi wa aina gani (kiumri, kihali...) wanatakiwa kupewa majaribio na matokeo yalikuwaje??
Mimi nimeangalia namba hizo kwa chanjo kadhaa nimeridhika.
Sina uhakika kama unajua unachojadili.
 

You can fool some people for sometime but you cant fool the people all the time...

Jiongeze mkuu data zipo
 
Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.
"hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio".
Kiongozi siamini kwamba hujui kuwa kuna taratibu na sheria ambazo lazima zifuatwe ili dawa/chanjo iruhusiwe kwa matumizi ya binadamu.
 
Rwanda na Uganda wamechanjwa Sasa wajejifungia hii ndo faida ya chanjo.
Ume analyse kitaalamu Sana,kitu ambacho hawataki kusikia wanachotaka ni chanjo,hata Kama Zina madhara.
Usihofu Yuko Mungu aliyeumba vyote atawavua nguo,ni swala la muda.
 
Sawa ndugu mjuaji, endelea na mishe zako......nilichokiandika kwenye bandiko ndo hicho....
 
THE LORD JESUS CHRIST ANSWER QUESTIONS ABOUT THE CO¹⁹VACCINE AND THE RADIO FREQUENCY IDENTIFICATION 666 CHIP(RFID)
END TIME PROPHETIC NEWS!
Don't miss to read this, it is agent and helpful, share to your local groups.
BY SISTER HAPPINESS AIBANGBEE. DEC. 24TH, 2020.
A brother sent this video to me through WhatsApp. I was petrified, as I watched it. I tried searching for it online through google, but it seems it has been pulled down. So to be sure of it's authenticity, I decided go to the Lord and inquire of him about the video. Here's what the Lord said: " Daughter, that girl took the vaccine and everything they are saying there ( in the video) is true." The Lord Jesus Christ continued:
" But daughter emphasize that the vaccine is not the mark of the beast ( which I've explained in my previous post ) Any body that takes the vaccine will be changed. The person's connection with God will be cut off. The person will have a bond with satan. And when the rfid microchip comes, the person ( who received the vaccine ) can never refused the rfid microchip. That is the work of the vaccine. The vaccine is the precursor to the mark of the beast."
THE DIFFERENCE BETWEEN THE CORONAVIRUS VACCINE AND THE RFID MICROCHIP.
The Lord said: " While the coronavirus or covid 19 vaccine will change a person's DNA (to that of the beast,) the rfid microchip will change the person entire being, the image of the person will be transform from that of God to that of the devil" At this juncture, I began to ponder on some of the issues I needed the Lord to clarify.
1. CAN A PERSON REPENT AFTER TAKING THE
CORONAVIRUS VACCINE ?
The Lord explained: " Once a person takes the vaccine, there will be no repentance. The person's connection with God has been cut off and cannot be fixed back. The person will be doomed for the lake of fire. No matter how much the person cry for mercy there will be no mercy "
2. WHAT IS THE POSITION OF A PERSON WHO HAVE RECEIVE THE CORONAVIRUS VACCINE, BUT HAVE NOT RECEIVE THE RFID MICROCHIP, IF HE DIES, WILL HE MAKE HEAVEN ?
The Lord said : " A person who have received the coronavirus vaccine, but haven't received the rfid microchip, if he dies, will still end up in the lake of fire, because taking the vaccine is just like taking the mark of the beast. This is because, when you take the vaccine you can never refused the mark of the beast." The Lord Jesus Christ went on to say; Anyone that takes the vaccine, there is no repentance for that person, that soul is already doomed for the lake of fire." The Lord concluded: " Daughter that is why I want you to continue this work, of posting these revelations" The Lord was very sorrowful as he explained these things.
There you have it. I don't think I have anything to add . More videos are coming out which will encourage believers to go ahead and accept the vaccine and the rfid microchip. They will tell you not to listen to anyone who is saying you shouldn't take them. Once again, I sincerely plead with you to stand your ground, don't let any one decieve you into making this irreversible blunder that will cost you your eternal life. Know this for sure, you can't be rapture with the vaccine in your system or with the mark of the beast in your hand or forehead.
A word is enough for the wise. Be careful, be very careful.
God bless you.
Shalom.
 
Kwani umelazimishwa kuchoma. Hutaki acha
 
Wajasiliamali wa injili hamkosi😅😅Toa uongo aako hapa.
 
Jamani!!! Kumbe sheitani ameendelea pia, siku hizi ana DNA?? Safi!
(Nimepata chanjo katika nchi jirani kitambo kidogo, ile alama ya mnyama haikutokea bado, nilikuwa na alama ndogo ya kudungwa mkononi lakini ilipotea baada ya siku chache.....)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…