Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Sawa.

Vipi, umeshadungwa hayo makalio?

Au bado umeketi kwenye sofa unasubiri waraka wa samia?
 
Wee jamaa feki sana! Unabandika barua ya zamani hapa ili iweje?
 
Hii nchi ipo kwenye hatari sana, ni hatari sana kuwa na raisi ambaye hajui kusema NO, yeye ni YEs tu kila sehemu , huyu Mama anatia hasira sana yani
Hana uwezo wa kusema NO huyu!

Hata sura yake tu inaonyesha udhaifu na utepetevu wa fikra.

Kila kitu kwake ni tiki... yes madam, yes sir!
 
Kilaza mkubwa!
Barua ya zamani ndo ikoje?
Mburula mkubwa!
 
Kama ni nchi ya zanzibar zimeingia rais wake ametangaza hadharani zitakuja hizo chanjo kwa atakae taka atachanjwa ili kuruhusu watu kwenda kuhiji
 
Kwanini iwe wakati huu wa drama za sabaya?

Ni kitu gani wanachoogopa?
Sabaya ni suala la mahakama na ana tuhuma sio igizo, atahukumiwa akikutwa na hatia. Serikali ya JMT haifanyi maigizo, hakuna wa kuitisha jamhuri. Hata raisi akisumbua kuna namna ya kumkumbusha kuwa ni mdogo kwa Jamhuri.
 
Kwani zile Juice za Madagascar hazikuingia kinyemela?

Si ilitoka amri kutoka kwa Jiwe kuwa kina Kabudi wapewe ndege wazifuate!


Zimefika wakanywa wao tu baada ya hapo wanyonge mkaambiwa zinaenda kufanyiwa tafiti hadi leo hii ulishaonja hata kijiko cha ile juice?
 
Huyu kabudi nae, tumsamehe tu! Yaani uprofesa wake na mambo ayafanyayo, na sio kuwa hajui ila kumfurahisha jiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…