Chanjo zimekaa kizushi mmTafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Taarifa imetolewa, wewe unasema uongo. Watu mpoje?Punguza uongo peleka mbali uongo wako
Nitaishi kulingana na Mungu alivyo nipangia lkn siyo kufa kifo cha kujitakia kama nyie mtakavyo pukutishwa na covidWewe utaishi milele?
Imetolewa na nani na kwa tafiti zipi?Taarifa imetolewa, wewe unasema uongo. Watu mpoje?
Hujalazimishwa kuchanjwa wewe endelea na kupiga nyunguUpigaji
Mabeberu Shida
Uzuri wa corona inawapiga wenye ubishi ubishi ndiyo inahangaika nao na mifano tunayoHata mliochanja msione aibu kurudi kwny tangawizi, limao na pilipili
Niwahi Kwa Dkt Msukuma, Jafo Tukakate MitiHujalazimishwa kuchanjwa wewe endelea na kupiga nyungu
Sio kweli huo utafiti ni fake, !! Fake news in Trump's voice !!!Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Amicron ndiyo nini?...naona umerudia makosa yaleyale zaidi ya mara mbili...Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Wewe unajilinganisha na waingereza?Uingereza huko mechi zinagharishwa sababu ya Corona.
Na wao ndo wa Kwanza kuhimiza kuchomana chanjo.
Ona watanzania tunavyoishi
Tunatumia kila siku kwa sababu hicho ni chakula chetu before Corona !!Hata mliochanja msione aibu kurudi kwny tangawizi, limao na pilipili
Uzuri wa corona inawapiga wenye ubishi ubishi ndiyo inahangaika nao na mifano tunayo
Kwani waingereza sio watu?Wewe unajilinganisha na waingereza?
Unauliza swali au jibu?Kwa hyo wazungu wabishi sana kuliko Waafrika?
Waingereza ni mabeberuKwani waingereza sio watu?