Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuja subiriKuna comment ya mtu mmoja umu sijaiona ebu nisaidieni kumuita uku kuna jambo lake
Afya ya akili ni tatizo na janga kubwa kitaifaKuna mmoja yeye pesa zake zinamtaka aingiliwe, ila wengi wao ni matokeo ya wanaume waharibifu wasio na hofu.! Mjomba, baba mdogo, babu. Hawa watu ni waharibifu sana. Sema jf hahiruhusu kuweka video, ila ningeweka muone baba mtu mzima anampanda ng’ombe na mate anampakia. Sasa mtu km huyo ukimuacha na mtoto atashindwa kumuingilia??!
Mno watu wamekuwa wa hovyoAfya ya akili ni tatizo na janga kubwa kitaifa
Samahani mkuu, umehifadhi video ya hivi kwenye simu yako?Sema jf hahiruhusu kuweka video, ila ningeweka muone baba mtu mzima anampanda ng’ombe na mate anampakia. Sasa mtu km huyo ukimuacha na mtoto atashindwa kumuingilia??!
Ipo kwenye group so ukifungua group unaikuta.Samahani mkuu, umehifadhi video ya hivi kwenye simu yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abiria chunga mzigo wako, dunia imebinuka hii [emoji51]
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wakiparamiwa wao wewe inakuuma nini?
Yupi huyoo? Tukuitieeee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna comment ya mtu mmoja umu sijaiona ebu nisaidieni kumuita uku kuna jambo lake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja subiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi nnaowaona huku mtaani mtoto wa kiume hata kubeba tofali hataki anaona anachafuka.. Mabishoo wako kwenye hatari zaidi ya kuwa Gays
Maana wanaishi maisha flani fantasy mwanaume ukishaanza kuona unapenda ubishoo mpaka kazi za kiume unaona noma yani umebakiza hatua 2 uwe shoga!!! Mana utaona kila kitu kigumu heri ukauze msambwanda upate mil 1 ukae magetoni unacheza Ps sijui Netflix utauza tena upate kafrem ka Kuuza ma t shirt
Yani hutaki ugumu
Ukweliii kabisaaa!!!Wanaume itisheni kikao cha dharura mjitathimini...kama sio wewe basi ni mwanao wa kiume au wa ndugu yako au wa dada yako..angalieni tabia zenu hizo mbaya..chanzo ni nyie wenyewe...mkibadilika walai dunia itakua salama...
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?
Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia hawa vijana kinyume na maumbile km sehemu ya wao kutimiza masharti ya waganga wa kienyeji ili kufanikisha mambo yao.
Bahati mbaya hawa vijana wao wanaon km wameyapatia kumbe wanatumiwa tu na malipoyk ndio wanapangishiwa hizo apartments na nyumba zima.. ili muda wwte wakubwa hao wakitaka kufanya uchafu wao huo iwe rahisi.
Jaman hichi nilichoandika ni kweli kabisa nimeshuhudia na kuprove kwa macho yangu kutoka kwa watu wangu wa karibu nilikutana nao sehemu tofauti kikazi ambao ni waathirika wa unyama huu wao wanaona sawa maana wanaishi expensive life hadi magari wamenunuliwa hawaelewi.
Uchuguzi wangu nimegundua Mmoja anatajiri mkubwa wa mmadini na mwingine mtu wake ni katibu mkuu wizara moja hivi..a