Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?

Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia hawa vijana kinyume na maumbile km sehemu ya wao kutimiza masharti ya waganga wa kienyeji ili kufanikisha mambo yao.

Bahati mbaya hawa vijana wao wanaon km wameyapatia kumbe wanatumiwa tu na malipoyk ndio wanapangishiwa hizo apartments na nyumba zima.. ili muda wwte wakubwa hao wakitaka kufanya uchafu wao huo iwe rahisi.

Jaman hichi nilichoandika ni kweli kabisa nimeshuhudia na kuprove kwa macho yangu kutoka kwa watu wangu wa karibu nilikutana nao sehemu tofauti kikazi ambao ni waathirika wa unyama huu wao wanaona sawa maana wanaishi expensive life hadi magari wamenunuliwa hawaelewi.

Uchuguzi wangu nimegundua Mmoja anatajiri mkubwa wa madini na mwingine mtu wake ni katibu mkuu wizara moja hivi..
Kama Diamond anavyomtumia Noel, kweli yawezekana kuna ukweli
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!...da!!!!!,,,,,,,,,,,kwa ivo ukimla m2 KIBOGA mkwanja unakuja kivipi??? mbona sielewi???,,,,yaani mpunga unatokea kwenye makalio ya SHOGA kama PRINTER HP500 au?
Haya mambo yapo mkuu nasikia matajiri wengi kwa sasa hawataki kumwaga damu
 
Hilo naunga mkono 100% kwenye ushirikina hakuna mipaka kabisa.
 
naingilia hoja!!!,,masingo maza wamekuwa wengi,then wanalea watoto wao wa kiume kama wa kike vile!! katoto ka kiume knpigwa skrabu,kanaoshwa kucha, na kanapakwa black mpaka kanajisifia"mimi mdhuri" alaf kanashuhudia mamake akinyanduliwa na maanko tofauti huku mama akigugumia KAROTI kwa furaha!! matokeo yake mtoto anamuiga maza aake !!
Mtoto wa kiume toka kazaliwa hajawai muona mwanaume pale nyumbani akifunga taulo kiunoni, yeye anamuona mama yake kila siku amefunga kanga kifuwani, sasa wwe unategemea nini kama nako si kujifunza kufunga kanga kifuwani badala ya taulo kiunoni!!?
 
Why are you gay!?
Amani94
1724590957149.jpg
 
Ukweli kabisa mkuu ila husikii watu wakisema sababu hawana maarifa juu ya ushirikina ila uchawi/ushiirikina ni hatari sana kwa jamii.
 
Wabunge na mawaziri, Mungu anawaona👉
Tunamshukuru Mungu Muumba wa Vyote ametuletea Mwabukusi.

Huyu Mtu ni kama Jiwe lililoshuka kutoka Juu na kila mtu atakayeangukiwa na Jiwe hilo litamponda ponda.

Ukitaka ujue ushetani mkubwa uliopo na unaoliangamiza taifa kupitia fedha mdaraka,teuzi ,mali, mamlaka basi rejea Wananchi wa Ngorongoro ambao wengi wao ni Waumini wa Kanisa la KKKT lakini sio Mkuu wa Kanisa la KKKT wala askofu wa Dayosisi yao aliyetoa tamko ama la kuunga mkono serikali au la kuunga mkono madai ya Wamasai. Wote walikaa kimya kwa maana kuwa waliku1ni vugu vugu sio baridi wala moto. Hao watatapikwa katika ufalme wa Mungu.

Hatukuona kanisa likiwapelekea chakula wala maji wala dawa. Wala red cross hawakujitokeza kuwapa misaada ,walisubiri Polisi waapige risasi na kufa kisha wakafanye ibada za Mazishi. Shetani amejiinua mpaka kwenye dini kupitia watawala wa Dunia. Kama shetani alivyomuingia yuda kutumia fedha ndivyo anavyofanya leo kwa watawala wa Dini na wa nchi . Fedha zilivuruga uchaguzi wa KKKT,zilatumweka mtawala anayesimama na watesaji kuwaonea wanyonge.
Fedha zilitaka kuharibu uchaguzi wa TLS lakini ndani yake alikuweko Mjumbe wa Mungu Mwabukusi na Mungu akasimama upande wa Mwabukusi ili awe Kurejesha haki, uhuru na utu katika taifa hili.
Shetani kamwe hataweza kushinda uwezo wa Mungu . Katika historia ya tawala kubwa za Dunia Watawala wote katili na wenye nguvu kubwa ,kifedha na hata kichawi walikua wanashindwa na watu wanyonge walioinuliwa na Mungu Kutoka katika maisha ya chini na familia za watu wa kawaida . Ndivyo itakavyokuwa kwa Mwabukusi.
Huu ni wakati wa Mwabukusi . Mungu aliyeumba Mbuga na wanyama walopo Loliondo na milima na mabonde na Mito na bahari na kuwatoa wamasai Misri na kuwaleta Tanganyika kupitia Bonde la ufa kwa karne nyingi atamlinda Mwabukusi dhidi ya Mawakala wa shetani na watashindwa kwa kishindo kikuu na wataanguka hawatasimama tena. Haijalishi nguvu walizonazo wanazozitumia kupitia dini na baadhi ya waumini na viongozi wenye tamaa ya mali na madaraka .

CCM katika uovu wake na ushetani wake itashinda na kuwahisha wamasai wote ikiwa hicho chama na watawala ndio walioko juu ya Mungu aliyeumba hii nchi na utajiri wa asili uliopo lakini kama wao pia wamewekwa tu na ni viumbe tu vinavyopita kama vingine basi Mungu atawashindia Watanganyika na kuwapa haki ya kumiliki ardhi yao ,mbuga ,bandari na madini yaliyowekwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom