Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Kidbway yupo Clouds saiv kwenye kamati ya Fiesta na kina Seba Maganga,,uyo mwengine unaemzungumzia ni Frederick Bundala Sky Walker au?
 
Skywalker
 
Boss mwenyewe alimpigia jamaa simu live, pia wanafanya biashara pamoja.Sasa wasielewane na mfanyakazi wake kisa kamtaja huyo jamaa si angeenda huko alikotaja

Hii kauli aliizungumza wiki iliyopita kwa 90% inaweza kuwa sababu ya kuhama.

Mngt baada kusikia kauli yake labda wakaamua waifanyie kazi kali yake.
 
Boss mwenyewe alimpigia jamaa simu live, pia wanafanya biashara pamoja.Sasa wasielewane na mfanyakazi wake kisa kamtaja huyo jamaa si angeenda huko alikotaja
Kwani huko alikotaja wamemtaka?
 
Team domo wanalazimisha bifu lisilokuwepo.
Boss mwenyewe alimpigia jamaa simu live, pia wanafanya biashara pamoja.Sasa wasielewane na mfanyakazi wake kisa kamtaja huyo jamaa si angeenda huko alikotaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…