Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Kidbway yupo Clouds saiv kwenye kamati ya Fiesta na kina Seba Maganga,,uyo mwengine unaemzungumzia ni Frederick Bundala Sky Walker au?Sijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.
Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.
Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.
Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.