joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ni ya kitoto kwa mtazamo wako,ila alichokizungumza yeye mwenyewe ndicho kilicho mtokea huyo Kennedy na Mina hawana uwezo wa kumtoa Bdozen CMG,kawazidi kila kituHuko kaenda kwa mamuzi yake mwenyewe na sio hiyo sababu uliyoitaja ya kitoto.