Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Huko kaenda kwa mamuzi yake mwenyewe na sio hiyo sababu uliyoitaja ya kitoto.
Ni ya kitoto kwa mtazamo wako,ila alichokizungumza yeye mwenyewe ndicho kilicho mtokea huyo Kennedy na Mina hawana uwezo wa kumtoa Bdozen CMG,kawazidi kila kitu
 
Tusik
Aisee

Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free.

Amekuepo clouds tangu lini?
Tusikilize sisi waskilizaji na ma'fans wa Clouds, Uliskiliza kipindi wanachambua zile moment za Fiesta 2019 kwenye Bongofleva ya Kennedy The remedy alikua na kina Reuben Ndege 'Nchakalih'?au unaongea2 nawewe?!Hatangazi ila ana cheo pale CMG kwenye kamati ya Fiesta
 
Adam Leo kwenye kipindi alikua anam'diss chaliake kimafumbo
 
Adam Leo kwenye kipindi alikua anam'diss chaliake kimafumbo
 
Sijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.

Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.

Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.

Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.
Sky walker/Fredrick Bundala
 
Kwani dirisha la usajili limefunguliwa?
 
Tusik

Tusikilize sisi waskilizaji na ma'fans wa Clouds,,Uliskiliza kipindi wanachambua zile moment za Fiesta 2019 kwenye Bongofleva ya Kennedy The remedy alikua na kina Reuben Ndege 'Nchakalih'?au unaongea2 nawewe?!Hatangazi ila ana cheo pale CMG kwenye kamati ya Fiesta
You so negative bwana mdogo

Mimi sijauliza kwa maana ya kupinga, nimeuliza hivyo as nimeshangaa sijawahi msikia pale mawingu, nikawaza pengine ni usajili mpya ndo mana kwenye kupita pita redioni sijamsikia?

Ingetosha tu kusema hayupo kwenye spotlight kwasababu hatangazi.
 
Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi.

Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni.

NB: Inasemekana.
Huyu ndiye yule anayehusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake?
 
Kwa hiyo kipindi cha XXL ilikuwa mali ya B twangala,mpaka akakataa kuacha mali yake?
 
Shadee ni HR clouds mkuu au unamsemea yupi?
Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi.

Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni.

NB: Inasemekana.
 
Back
Top Bottom