Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Dunia is a very small particle katika "universal of Galaxy constellations!, Intelegency monitoring (peponi) ipo katika center of Galaxy constellation,
KWA MSAADA WA KITABU CHA - ULLAMAH - (product of mega ancient explosion)
Such a great opinion, Ila chanzo chanzo ni nini ?
 
Wewe chanzo chako mpaka ulipo kinajulikana, wazazi wako na asili yako ukifa unazikwa migombani ...

Kila kitu kina chanzo ndugu yangu..
Ndo wengine wakaja na theory ya infinity. Wakati wote kuna kitu na hicho kitu kina chanzo na kila chazo ni mwisho wa kitu kingine, kila kitu kina mwanzo na mwisho na mwisho ndio mwanzo wa kingine. Chanzo cha dunia ni mwisho wa kitu kingine kilichokuwepo kabla na mwisho wa dunia ni chanzo cha kitu kingine kitakachokuja baadae. Mwisho ndo mwanzo, mwanzo ndo mwisho na siku zote kuna mwanzo na kuna mwisho wa kitu na siku zote kuna kitu. Mwisho wako(kifo) ni mwanzo wa kitu kingine.
 
Labda tujadili nadharia sasa..Kila mtu aseme anavyofikiri japo without proof

Ngoja nijarb kwa hii sasa.
1." Maisha si kitu halisi, wote tupo ndotoni na siku moja tutaamka"

2.Japo naweza nisijue imetoka wapi, lkn nguvu ipo na hiyo nguvu inapita ukomo wa nguvu za binadamu, nguvu hiyo ndiyo chanzo cha Maisha.
Ningekuwa mwalimu wako at least wewe ningekupa au ungeambulia 10%/100 at least naiona Great mind ndani yako
 
😁😁Naona na hapa umefosi mpaka neno kuraha limeingia😁😁
Truth is told to those who are competent to swallow and disgest it, and to those with the necessary intellectual capacity to withstand it.

Truth given to the incompetent is like giving a plate of cakes to the pigs. They will devour it to the muds and swallow it with the maggots.

Let the pigs eat the maggots.

Cc: Lamomy DR Mambo Jambo Poor Brain njumu za kosovo Mpaji Mungu
 
Kwa jinsi nilivofatilia kivyangu vyangu.

Siyo Dunia tu hapa nitazungumzia ulimwengu kwasababu Dunia ni sehem ndogo tu ya ulimwengu (globe)

Chanzo Cha ulimwengu ni nguvu asilia ambayo inatokana na hali ya msawazo iliyopo katika ulimwengu mzima.

Wanasayansi, wachawi na wataalamu wote ulimwenguni huitumia nguvu hiyo kutengeneza vitu mbalimbali na kufanya mambo ambayo yanaonekana mageni na mapya kwa watu na viumbe wengi ulimwenguni.

References

1. Ukikaa bila kula kwa muda flani mwisho wa siku utakufa ( hii inathibitisha natural equilibrium iliyopo ulimwenguni)
2. Ukipanda mbegu katika sehemu isokuwa na maji (unyevu unyevu) haitaota na hii pia inathibitisha natural equilibrium
3. Ulimwengu tayari upo na default settings zinazotokana na natural equilibrium thats why mwanamume habebi mimba.

All in all ni kwamba chanzo Cha ulimwe6na Kila kitu ni natural super power
Binadamu wa kawaida kama mimi na wewe tunawezaje kuwa karibu au kuivuta hiyo super natural power ili iwe part and parcel ya maisha yetu ya kila siku ? At least ningekuwa mwalimu wako ningekup 15%/100% Ahsante sana mkuu
 
Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Apa sayansi haina nguvu bila dini,dini bila sayansi inakua imepungukiwa
 
Truth is told to those who are competent to swallow and disgest it, and to those with the necessary intellectual capacity to withstand it.

Truth given to the incompetent is like giving a plate of cakes to the pigs. They will devour it to the muds and swallow it with the maggots.

Let the pigs eat the maggots.

Cc: Lamomy DR Mambo Jambo Poor Brain njumu za kosovo Mpaji Mungu

😁😁😁So ,are we pigs just because we fail to recognize the truth boss?
 
Ni kama kusema eleza ulizaliwa wapi na ulikulia wapi na usimuhusishe kwenye majibu mama yako wala baba yako, ehee sasa utaota? utajuaje? ni ngumu kumuweka pembeni muumba wa mbingu na ardhi na muanzilishi wa maisha kwasababu tukimuweka yeye pembeni hakuna jibu la hilo swali.
 
😁😁😁So ,are we pigs just because we fail to recognize the truth boss?
Exactly.

Tamu ya nguruwe ni kula TOPE LENYE FUNZA.

Na mwisho wa NGURUWE MLA TOPE ni kubanikwa katika kichanja cha mishkaki.

They are not worthy it.
 
Back
Top Bottom