Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Wewe mwenyewe

Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
 
Tuanze kwa huyo unayesema ni muumba, Yeye ilikuwaje akawepo?

Huyo muumba kabla ya kuumba, alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Usianze kuleta hadithi za kwenye Quran.

Maana hukawii kufanya hivyo.
Hii tabia hujaiacha tu ya kutokujibu maswali ?

Tuambie wewe sasa hii Dunia ilikuwaje ukawepo na mwanadamu ilikuwaje akawepo ? Kisha uulize maswali yako.
 
Hata ulimwengu ni kamili na hauhitaji, mpangiliaji.

Ulimwengu ni kamili, Hauna chanzo chochote kile.
Onyesha ukamilifu wa Ulimwengu na ututhibitishie hilo.

Umejuaje kama Ulimwengu Haina chanzo ? Tuambie ilikuwaje ukawepo ?
 
Kama unaamini binadamu aliumbwa. Kwanini sasa usiamini uwepo wa Mungu ni kwa sababu ya uwepo wa nguvu nyingine iliyo mweka hapo?
Sababu hilo haliwezekani, kwanza unamjua Mungu ni nani ?

Unajua ili kitu kiwe na sifa ya uumbaji kinatakiwa kiwe na sifa zipi ?
 
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Hatuna hayo mamlaka ya kujadili ni nani alietuumba ,kujua tu kwamba tumeumbwa na yupo aliyetuumba ndio ukomo wa fahamu zetu . Ni vile tu ametupendelea na kutupa UFAHAMU ila tuna ukomo wa kuufikiri .

Ni mfano tu Binadamu anavyounda PC (computer) haina mamlaka ya kufanya kazi tofauti na iliyokusudiwa na aliyeiunda.

Hakuna majibu rasmi ya alietuumba alitokea wapi na asili yake ni nini. Fahamu zetu ni ndogo kung'amua.
 
Dunia ni dimension among many many dimensions za universe galaxies...

Stories zote za bible na historia ni man made ili kuwapoteza wapumbavu...

Kuna siri nyingi sana za huu ulimwengu zimefichwa, tungezijua basi dunia ingekuwa tofauti sana..
 
Je ni lazima kila kitu kilichopo duniani kina chanzo na mwisho?

Kama ni hivyo,

Chanzo cha mawe ni nini? Na mwisho wake ni nini?

Chanzo cha Ardhi ni nini? Na mwisho wake ni nini?
Mwisho wa mawe ni kusagwa kuwa dust kwa ajili ya yofali na matumizi mengine,
Mwisho wa ardhi ni kumomonyoka kuwa mkondo wa maji,ziwa au bahari
 
Mada si mbaya wala ngumu ila ni sawa na kumtafuta adui usiemjua ,au kutafuta giza mchana
 
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.TUMIA AKILI ....MASWALI YA KIJINGA NAMNA HII UNATAKIWA KUULIZA WATOTO WA CHEKECHEA

Labda tujadili nadharia sasa..Kila mtu aseme anavyofikiri japo without proof

Ngoja nijarb kwa hii sasa.
1." Maisha si kitu halisi, wote tupo ndotoni na siku moja tutaamka"

2.Japo naweza nisijue imetoka wapi, lkn nguvu ipo na hiyo nguvu inapita ukomo wa nguvu za binadamu, nguvu hiyo ndiyo chanzo cha Maisha.
Swali la kitoto sana jibu ni ENERGY
 
(kwa wanaojua kuandika na kusoma kiswalili)​

Sawa, Ila niulize hili neno "

Principles" ni kiswahili cha wapi? Buza?
Mzee jibu swali, Tatizo ujuaji mwingi ? Ina maana hujaelewa au ?
 
Hili pia unahitaji ushahidi ? Hivi hii mijadala huwa mnajipanga kwa ajili ya ubishi au ? Hivi uwepo wa usiku na mchana ni jambo la Bahati mbaya ? Uwepo wa jua ni jambo limezuka tu ? Kwanini jua lisichomoze Kaskazini na kuzama kusini ?

Huoni misimu ya mvua huoni misimu ya kiangazi ? Hivi vyote vinahitaji ushahidi au uthibitisho gani kwamba vimesukwa na kuwekewa nidhamu maalumu ?

Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kuuliza swali la kijinga na kitoto kama hili ? Hivi huwa unaandika ilimradi tu au upoteze muda ?

Tuambiwe wewe vinawezaje ? Unajua sifa ya kitu chenye uwezo wa kufanya kitu fulani au kutokkufanya lazima kiwe na uwezo, kiwe na maarifa kiwe na akili kiwe na ujuzi bali kiwe na malengo ? Je Dunia ina hizo sifa ?

Hapo hakuna kudhani bali huo ni uhakika sababu ndio uhalisia wenyewe. Ni sawa na useme kwanini unadhani ya kuwa mtoto ni mkubwa kiumri kumzidi baba, huh ni upunguani.

Hii tabia hujaiacha tu ya kutokujibu maswali ?

Tuambie wewe sasa hii Dunia ilikuwaje ukawepo na mwanadamu ilikuwaje akawepo ? Kisha uulize maswali yako.
Dunia na vyote vilivyomo havina chanzo.

Na wala havihitaji kuwa na chanzo.
 
Mwisho wa mawe ni kusagwa kuwa dust kwa ajili ya yofali na matumizi mengine,
Mwisho wa ardhi ni kumomonyoka kuwa mkondo wa maji,ziwa au bahari
Ardhi ipi hiyo iliyo momonyoka ikawa mkondo wa maji, ziwa au bahari?

Ardhi unayo ikanyaga leo hii, ina maana haiku momonyoka miaka yote hiyo, hadi leo hii wewe umeikuta na unaikanyaga?
 
Back
Top Bottom