Kwani Serikali imesemajeWanachofanya hii serekali haramu iliyofitinika na kukosa kibali machoni pa Mungu, ambayo imeingia madarakani kwa kuiba kura ni kutaka kutatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo kitu ambacho ni kupalilia tatizo!View attachment 1707503
Muda utasema nasi tutakaokuwepo.who knows, maybe you.
Wewe ebo!!Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
Chadema wanahusikaje hapo?Ndumbaro amekata mzizi wa fitina.
Chadema macho kodo!
Ila wanaozidiwa na maswala ya moyo wengi wao hupelekwa JKCI
ni yeye mwenyewe anafata unadhani kwann anawaza hivyoUna maana nani mwingine anafuata na matatizo ya moyo?
Mke wa ndoa Naye alikuwa amevaa masksSo, kwanini hakuwahishwa Jakaya Kikwete Heart Institute?
Ilianza ajali... sasa ni moyo.... hatajui kinafuata nini.!Una maana nani mwingine anafuata na matatizo ya moyo?
Dakta Ndumbaro, hayo majibu ya mfukoni akae nayo, Corona inaua chukua tahadhari kama walivyofanya familia ya Kijazi kuanzia mama mwenye nyumba hadi mjukuu full Barakoa.Ndumbaro amekata mzizi wa fitina.
Chadema macho kodo!
We ni daktari? Kama ni daktar Rudi shule mapema Sana ewe kilazaungekuwa daktar sawaa
ila hata connection ya moyo na corona
maana corona ni katika mfumo wa upuaji sasa wapi na wapi
Ilianza ajali.... sasa ni moyo... hatujui kitafuata nini..!Una maana nani mwingine anafuata na matatizo ya moyo?
Yupo sahihi.Wewe cha kufanya futa comment yako na utulie kuficha ujinga!ungekuwa daktar sawaa
ila hata connection ya moyo na corona
maana corona ni katika mfumo wa upuaji sasa wapi na wapi
Kujua sababu haibadili chochote. Ameshaenda!!Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo .
Chanzo : MwanaHalisi TV
View attachment 1707485
Janja Janja Government..! Hukumbuki kuna Mbunge kafa kwa ajali ya Korona.So, kwanini hakuwahishwa Jakaya Kikwete Heart Institute?
Tamko pendwa la serekali.Kwani Serikali imesemaje
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Jamaa mbona ana hoja?ni yeye mwenyewe anafata unadhani kwann anawaza hivyo
mbona ni simple sana au katika imani yako hamjafundishwaTamko pendwa la serekali.View attachment 1707518