Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Huku kwetu kujishusha mbele ya mwanamke ni mwiko... (hata kama kosa ni langu).. huku mwanamke anajua kabisaa akizingua au akinuna atalambwa bakola za kutosha tu... so full kuheshimiana na hakuna kununiana...
 
Mkae chini kuongea wapi mme kosana,unajua inakera sana mwenzio akiwa kimnya kama mume wangu, unamuliza mbona umechelewa kurudi leo Habibi na simu yako hupokei inshallah kila kitu kiko sawa? jibu Ivi hili swali la mimi kuchelewa linatoka wapi? ukiona hunioni subiri mpaka 24hrs ndio upeleke habari police Kaaaah!!! unabaki uso mduchuu au uone sms ya ajabu kwenye simu yake anakwambia zidi kuchokonoa simu yangu utakuja kufa kwa BP na hata akikukosea haombi msamaha hata umshikie kisu,atakachofanya nikukununulia zawadi na hajali ni ya kiasi gani atakupa ila SAMAHANI SAHAU...
Yuko tayari kukupeleka hata Nchi za nje kutembea lakini SAMAHANI SAHAU... lakini mambo mengine Alhamdulillah anatimiza baya lake hilo tuuu na ndio linanila roho mpaka basi unaishia kunyamaza,na wala akinuna yeye au ninune mie anasema kwenye mambo ya chumbani hanuni atafanya akimaliza ndio tunaendelea kununa au ndio tunaanza kuongea...
sema nikiwa na mimba anaipata fresh nalipiza yote manake anakua na huruma sana.........
 

Kwakweli kupiga mtu ni ushamba wa hali ya juu - Yani mwanaume ushindwe kutoa ushawishi kwa mkeo hadi unampiga?

Na napingana na wewe kuwa ili ndoa iwe nzuri lazima mgombane ndio mjuane- A big NOO, inategema na uchumba na urafiki wenu ulikuwaje ila kama ndio ndoa za fasta mwaka mmoja urafiki mshaona hayo ya kuadjust tabia lazma yawaletee shida. Nimeona na from experience ndoa zilizojengwa kwa uchumba thabiti na kujuana vema kabla ya kula kiapo zimekuwa na maisha mazuri sana , take it from experience unaweza kukaa 20 yrs wamjagombana ile ya kuzuliana maneno wala nini. Kila patner anahitaji kujua responsibility yake na mipaka basi . Zaidi ya yote wanandoa wasali/waswali pamoja na kuongea as much as they can.
 


Again nitaita huu ushamba : kujishusha kila mtu ana jukumu la kujishusha si Mke si Mume ; It takes two to make it work.
Kusema kujishusha ni kuolewa ni INFERIORITY COMPEX tena in Advanced stage. Kama unaamini hoja zako zimenyooka , una ushawishi wa kutosha na wewe ni MAn enough kwa nini uhofu utaitwa "bwaba"

Mke hatawalili na wala mume hatawaliwi - wote wana maridhiano ya kuishi kwa kusaidiana sio kutawalana. Siku zote huwa nasema (just a personal idea) mwanaume ambaye ana taka kila saa ajulikane kama yeye mwanaume, anamwambia mkewe , Unajua mi nani humu ndani, anawaambia watoto "Unajua mimi ni nani" ni dalili kubwa ya inferiority complex .

Anyway all these arguments depends on how you grew up, what u believe and your attitude in relationships/ marrige.
 
Dawa inategemea na akili ya mwenza, wengine dawa yao ni kuvunja ukimya kwa kumuongelesha jambo zuri. Wengine ni kuchapa kibao kabisa, wengine na kunywa pombe mpaka ataongea tu. Wengine ni kumpa kazi binafis au kumuomba kitu binafsi ili akunyime au asifanye then issue iende kwa wazazi. so pima akili na shule ktka maana ya uelewa wa mwenzi wako.
 
Mimi sitakupiga kwa mikono na miguu ntakupiga kwa vitendo tuu mpaka utaomba upewe kipigo mwenyeweee,ukipika chakula sili,kugegedana sahau,nyumbani sirudi hata siku mbili mfululizo,simu yako sipokei msg sizijibu,story ndo staki kabisaaaa,chumba tutalala tofauti,kama mwanamke ana akili timamu atachunguzaa yooote yanayonikera na hatayafanya coz anajua akifanya reaction itakuwaje,kama mcharuko basi ataendelea kuzingua na kwa sababu hatujazaliwa tukiwa wawili kila mtu itabidi ashike lake!
 
Si bure utakuwa mkurya wewe.
 
wanawake ki-marangu ni kidomo-kidomo sana yaan usijiloge uoe dada zangu. Mimi mwenyewe ni mmarangu lakini siwataki hata bure.
toka zamani walijulikana kama wanawake wa barabarani,''wana wa parapareny''
kwa sasa ni mabingwa wa kuloga pia
 
Ukiona hivyo jua unamegewa so kaa uongee nae ili ujue tatizo ni nn had anachepuka,,,,,,,,,,,,,,,,ila usimpige maana ndo atazidi
 
Huko kote mbali ndugu yangu kuna kununiana kisa mmebishana mpite njia ipi? huyu anasema hii mwingine hii atayeshindwa kununa kunaanza!!!
Hapa bila ya mmoja kuwa na busara mtajikuta mwezi mzima ni kununiana!
 
Uboya tu yani mwanaume anaenuna mi huwa namuona(........)
 
Kuna wengine hawakwepeki anakukomalia mpaka kieleweke. Na wanavyojua kuongea hawa viumbe utakoma kumpenda. Anaweza kuwananga ukoo wenu mzima ndani ya sekunde chache tu.

na nisivyopenda mwanamke anayeongeaongea shombo sijui itakuwaje aisee!!
 
ila dawa ni kumtundika miguu juuu baada ya hapo kila kitu shwari
 
Duu! mm wiki ya 2 sasa wife kaninunia kisa hata hakieleweki leo narudi kazi hakuna chakura wala nn nauliza eti mboga hakuna amechoka hawezi kwenda sokoni amenirushia hela niende sokoni duuu.!!
 

oooooo! kumbe marangu nao?
 
Lazima mwanamke ajishushe kwa mume wake, hata kama mwanamke ana mapembe ya aina gani, ila hiki kizazi cha kuanzia kwa mwinyi hiki ni tatizo sana...
 
Inakubidi uwe mpole tuu, na ujishushe fanya kama hivi....pic below
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…