Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sishabikii kumpiga, ila inakuja automatic, na watu mkigombana haimaanishi mtagombana siku zote. hiyo ni moja wapo tu ya namna ya kuexpress your feelings kwamba you are fed up. nenda waulize wanawake wote, kati ya kuvubuana na kuachana bora kipi, watakupa jibu. kupigana si kitu kizuri, na ukipiga mke ujue hadi miezi si chini ya mitatu bado kutakuwa na enemity fulani kati yenu unahitaji mda kuisafisha na kurudi katika hali yake. sasa kama mwanamke anakupanda kichwani, Bible yenyewe imeandika wanawake watiini waume zenu yeye hafanyi hivyo na anafanya makusudi akujua utafanya nini....hadi kufikia kudharauliana, hadi mwanaume unachoka nyumba unaanza kurudi saa tano usiku haelewi, mara unakimbilia kwenye mchepuko tu ili uende kupunguza stress...utamfanya nini mwanamke huyo? ukimwacha ni worse than ukimtandika, ukimrudisha kwa wazazi wake haisaidii, na mkiendelea na ugomvi ujue hamtapeana tunda na matokeo yake kila mtu atatafuta mchepuko na kuleta magonjwa, si bora mmalizane mapema mahasira yaishe mtakuja kupatana baadaye ili muishi vizuri...hahaha.
however, kusema kweli sishabikii kupiga mke. siku hizi siwezi kumpiga kwasababu amebadilika. na hata kama asingebadilika ambacho ningekifanya ningempa saikolojiko tosha ambayo angeona bora angepiga mbata.
mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.
Hawa watu yaani...! Lemme mute for now!!!
Si bure utakuwa mkurya wewe.mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.
toka zamani walijulikana kama wanawake wa barabarani,''wana wa parapareny''wanawake ki-marangu ni kidomo-kidomo sana yaan usijiloge uoe dada zangu. Mimi mwenyewe ni mmarangu lakini siwataki hata bure.
Huko kote mbali ndugu yangu kuna kununiana kisa mmebishana mpite njia ipi? huyu anasema hii mwingine hii atayeshindwa kununa kunaanza!!!Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
Binafsi nimesha experiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba.
Hapo mimi huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE.
Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?
Kuna wengine hawakwepeki anakukomalia mpaka kieleweke. Na wanavyojua kuongea hawa viumbe utakoma kumpenda. Anaweza kuwananga ukoo wenu mzima ndani ya sekunde chache tu.
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)