Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Lazima mwanamke ajishushe kwa mume wake, hata kama mwanamke ana mapembe ya aina gani, ila hiki kizazi cha kuanzia kwa mwinyi hiki ni tatizo sana...

Oohh dear aahhhaaaa, kwa hiyo na Mimi pia mmoja wapo? Since nilizaliwa enzi za Mwinyi uuwwiii aaaaahhhhaaa dear you have made my day aaahhhaaa. Thanks
 
Wanandoa kununiana dawa yake ni kuachana tu....
Utaishije na mtu kama unakaa na sanamu bwana....!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Suluhisho ni kujishusha na kuomba hekima kwa mungu,kwa maana hata vitabu vya dini vimesema tuishi na mwanamke kwa akili

Kweli mkuu maana hawa wenzetu vichwa vyao wanavijua wenyewe....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Duu! mm wiki ya 2 sasa wife kaninunia kisa hata hakieleweki leo narudi kazi hakuna chakura wala nn nauliza eti mboga hakuna amechoka hawezi kwenda sokoni amenirushia hela niende sokoni duuu.!!

Mrudishe kwao...na uoe mwingine.na uendeleee na maisha...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

acha kufundisha watu ub.wege wewe! Au na wewe unatabia hizo nini. Mwnaumekuomba omba msamaha hovyo sio hishu.
 
hivyo ndivyo ulivyofunzwa kwenu, na kam aunaongea hivyo wewe lazima utakuwa mwanamke usiye na adabu unayepokea kipondo mara kwa mara hivyo nimekutonsha kidonda ama la basi umeshaachana na uliyependana naye na kama haujaachana hautadumu naye kwasababu ya ukisasa wako. tangu enzi na enzi, mwanamke ameumbwa atawaliwe na mwanaume, na mwanamke anatakiwa kujiona ufahari kutawaliwa na mwanaume. ukiona wewe mwanamke unajifanya uko sawa na mwanaume basi pengine ni tomboy kama salama jabir hujijui ila ni punga la kike. it is natural tangu uumbaji mwanamke kuwa chini ya mwanaume na kutawaliwa, amtii anachosema, na hapo hakuna usawa wa kijinsia kwasababu usawa wa kijinsia ni uchafu ulioletwa na shetan kwa barabara ya haki za binadamu. pole.
 
ila dawa ni kumtundika miguu juuu baada ya hapo kila kitu shwari

Unafikiri ni rahisi hivyo.....labda uwe umeoa kapotabo kama Zamaradi.....au Vanesa...sie wengine wake zetu ni saizi ya akina Asha Boko....amenuna alafu unajitia eti unataka haki yako alafu agome kutoa ushirikiano....unatundika huo mguu begani unakuwa kama umebeba mfuko wa Simba cement....na alivyo mzito kumgeuza huwezi....uhangaike mwenyewe hapo weee mpaka umalize....huku amevuta domo, anavyokukata jicho ni kama anakwambia "nakupa dakika mbili hujamaliza nakusukumia teke la tumbo"

Ndoa si mchezo ati.
 

Hapo patamu sana MNUNO TU HATA ZAIDI YA MWEZI HADI TUCHEKE WENYEWE
 
 
Yaaan mi ninavopenda kununa alafu nibembelezwe
nasikia rahaaaa

Dada sio wote wako hivyo,kuna mwingine hata umbembeleze vipi na kumnunulia zawadi anazopenda bado Kiburi ni asili yake na kununa,

Siamini kama wachaga wote wana tabia hii,ila nimewahi kufanyiwa hivyo na mabinti wawili na wote ni wachagga,
 
wanawake ki-marangu ni kidomo-kidomo sana yaan usijiloge uoe dada zangu. Mimi mwenyewe ni mmarangu lakini siwataki hata bure.

Mkuu sasa hapa naweza kuamini kabisa wadada wa pande hizo wako hivyo?aisee sijui utaonesha mapenzi gani wajushushe!!!

Ukimkosea umuombe msamaha hakusikilizi na mara nyingine anaanza dharau za wazi mpk kwa nduguzo,ila yeye akikukosea ananuna na kupotezea.
 
Dada sio wote wako hivyo,kuna mwingine hata umbembeleze vipi na kumnunulia zawadi anazopenda bado Kiburi ni asili yake na kununa,

Siamini kama wachaga wote wana tabia hii,ila nimewahi kufanyiwa hivyo na mabinti wawili na wote ni wachagga,



Hao ni vibuli vyao tu!

mi hua na nuna ili nideke tu
 
Mnuno wa wiki tatu??? mmmhhh mnaishije nyie watu
 
Km ni mwanamke cha kufanya ni .oga vizuri jikwatue kisawasawa.marashi unyunyu mzuri .tupia kanga moko au nguo za ndani tu.andaa chumba chako safi na muzik lainiiii.ukisikia mzee anakuja jaribu kujipitisha pitisha mbele mbele huku ukikata mauno .lazima usikie jamaa anaasema waooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…