Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima mwanamke ajishushe kwa mume wake, hata kama mwanamke ana mapembe ya aina gani, ila hiki kizazi cha kuanzia kwa mwinyi hiki ni tatizo sana...
aisee nikupiga makonde
Huna uwezo huo..!!
Suluhisho ni kujishusha na kuomba hekima kwa mungu,kwa maana hata vitabu vya dini vimesema tuishi na mwanamke kwa akili
Duu! mm wiki ya 2 sasa wife kaninunia kisa hata hakieleweki leo narudi kazi hakuna chakura wala nn nauliza eti mboga hakuna amechoka hawezi kwenda sokoni amenirushia hela niende sokoni duuu.!!
eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.
hivyo ndivyo ulivyofunzwa kwenu, na kam aunaongea hivyo wewe lazima utakuwa mwanamke usiye na adabu unayepokea kipondo mara kwa mara hivyo nimekutonsha kidonda ama la basi umeshaachana na uliyependana naye na kama haujaachana hautadumu naye kwasababu ya ukisasa wako. tangu enzi na enzi, mwanamke ameumbwa atawaliwe na mwanaume, na mwanamke anatakiwa kujiona ufahari kutawaliwa na mwanaume. ukiona wewe mwanamke unajifanya uko sawa na mwanaume basi pengine ni tomboy kama salama jabir hujijui ila ni punga la kike. it is natural tangu uumbaji mwanamke kuwa chini ya mwanaume na kutawaliwa, amtii anachosema, na hapo hakuna usawa wa kijinsia kwasababu usawa wa kijinsia ni uchafu ulioletwa na shetan kwa barabara ya haki za binadamu. pole.Again nitaita huu ushamba : kujishusha kila mtu ana jukumu la kujishusha si Mke si Mume ; It takes two to make it work.
Kusema kujishusha ni kuolewa ni INFERIORITY COMPEX tena in Advanced stage. Kama unaamini hoja zako zimenyooka , una ushawishi wa kutosha na wewe ni MAn enough kwa nini uhofu utaitwa "bwaba"
Mke hatawalili na wala mume hatawaliwi - wote wana maridhiano ya kuishi kwa kusaidiana sio kutawalana. Siku zote huwa nasema (just a personal idea) mwanaume ambaye ana taka kila saa ajulikane kama yeye mwanaume, anamwambia mkewe , Unajua mi nani humu ndani, anawaambia watoto "Unajua mimi ni nani" ni dalili kubwa ya inferiority complex .
Anyway all these arguments depends on how you grew up, what u believe and your attitude in relationships/ marrige.
ila dawa ni kumtundika miguu juuu baada ya hapo kila kitu shwari
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
Binafsi nimesha experiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba.
Hapo mimi huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE.
Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?
Unafikiri ni rahisi hivyo.....labda uwe umeoa kapotabo kama Zamaradi.....au Vanesa...sie wengine wake zetu ni saizi ya akina Asha Boko....amenuna alafu unajitia eti unataka haki yako alafu agome kutoa ushirikiano....unatundika huo mguu begani unakuwa kama umebeba mfuko wa Simba cement....na alivyo mzito kumgeuza huwezi....uhangaike mwenyewe hapo weee mpaka umalize....huku amevuta domo, anavyokukata jicho ni kama anakwambia "nakupa dakika mbili hujamaliza nakusukumia teke la tumbo"
Ndoa si mchezo ati.[/QUOTE
Kutundika what?? c ajabu ukaning'inizwa ww mwenyewe ushangae
Yaaan mi ninavopenda kununa alafu nibembelezwe
nasikia rahaaaa
wanawake ki-marangu ni kidomo-kidomo sana yaan usijiloge uoe dada zangu. Mimi mwenyewe ni mmarangu lakini siwataki hata bure.
Dada sio wote wako hivyo,kuna mwingine hata umbembeleze vipi na kumnunulia zawadi anazopenda bado Kiburi ni asili yake na kununa,
Siamini kama wachaga wote wana tabia hii,ila nimewahi kufanyiwa hivyo na mabinti wawili na wote ni wachagga,