mie sina mkefanya mwaka mzima... Ngoja uchapiwe uone kama hutaongea???
na mimi nilikuwa nafikiri hivyohivyoduuh hebu yazungumze yaishe....hii kitu kama bahati mbaya ikitokea ni muda wa siku zisizidi 3. Zaidi ya hapo mnapalilia mambo mengi, ambayo yataenda kuvunja ndoa yenu.
na mimi nilikuwa nafikiri hivyohivyokimaandiko hutakiwi kulala na chuki mpaka asubuh kunakucha, mkikwazana zungumzeni peaneni makavu kisha mnasameheana.
na mimi nilikuwa ninafikiri hivyohivyoyamekukuta pole, ndo ukubwa huo, hata akinuna wewe usiku muombe kitu upige ataongea tu, lakini yote ya yote ni jambo la kawaida hasa kwa vijana na kwenye ndoa changa, jitahidi mnuniane hata kwa siku tatu au mbili nje ya hapo ni makosa makubwa saana.
na hawa wanaweza fikfisha muda huohuo......kuna rafiki yangu walichuniana na mumewe 3 weeks
mie sina mke
lakini nashirikishwa ktk kuyasuluhisha haya......
hata mimi ninafikiri hivyohivyohaitakiwi kabisa kununiana
hata mimi ninadhani hivyohivyobreak the ice, hakuna kitu muhimu kama communication kwenye mahusiano/ndoa
Hebu nikumbushe tenasasa peleka ushauri kama nilivyokushauri
Hebu nikumbushe tena
Na yeye akigonga kwingine...akishagongewa mkewe wataongea tu
Na yeye akigonga kwingine...
Hapan shaka wataongea....
Msingi service
kuna rafiki yangu walichuniana na mumewe 3 weeks
na hawa wanaweza fikfisha muda huohuo......
Ila hawa hata msosi kila mtu kivyake........
Hapo ndo napata hofuku do sijui inakuwaje