Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

yamekukuta pole, ndo ukubwa huo, hata akinuna wewe usiku muombe kitu upige ataongea tu, lakini yote ya yote ni jambo la kawaida hasa kwa vijana na kwenye ndoa changa, jitahidi mnuniane hata kwa siku tatu au mbili nje ya hapo ni makosa makubwa saana.
 
duuh hebu yazungumze yaishe....hii kitu kama bahati mbaya ikitokea ni muda wa siku zisizidi 3. Zaidi ya hapo mnapalilia mambo mengi, ambayo yataenda kuvunja ndoa yenu.
na mimi nilikuwa nafikiri hivyohivyo
 
yamekukuta pole, ndo ukubwa huo, hata akinuna wewe usiku muombe kitu upige ataongea tu, lakini yote ya yote ni jambo la kawaida hasa kwa vijana na kwenye ndoa changa, jitahidi mnuniane hata kwa siku tatu au mbili nje ya hapo ni makosa makubwa saana.
na mimi nilikuwa ninafikiri hivyohivyo
 
Mnaweza mkachuniana ila mechi zinaendelea kama kawa, tena zinakuaga mechi kali na tamu kweli.
 
Back
Top Bottom