Haswaaaaa ila wew hushindwi kuninunia
Kila binadamu ana mapungufu yake basi inapotokea kwa wanandoa kutozungumza kukaa kimya kwa jambao lolote hamna story,hamna salamu na mnaalala kitanda kimoja. Je, kwa kawaida hali hii inabidi kwenda kwa muda gani wiki 1 mbili au mwezi au miezi?
na hawa wanaweza fikfisha muda huohuo......
Ila hawa hata msosi kila mtu kivyake........
we ni mtatahuyo mwanamke nae jeuri
mie huwa napika kama kawaida.
Siongei naingia kwenye suruali nachukua pesa naendelea na yangu
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
Binafsi nimesha experiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba.
Hapo mimi huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE.
Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?
daah leo nimepata mengi sana hapa, niwashukuruni sana wote mulochangia mada hii kwa busara za hali yajuu sana ukiachilia wachache mloleta maneno mbofumbofu! bado nipo naendelea fuatilia uzi huu elimishi kwangu kweli nimejifunza!!!
leo hii namimi ni mhanga kwa hili yaani tangu j2 ilopita had leo j2 hali ni tete mtu amenuna n'a chakula hakupikwi basi mm nimejitahid kua kimya coz kila nikibembeleza moto unazidi, nikitoka kazni hua nakula njian nikifika naoga nalala zangu, leo hapa nimelala nasoma jf lakin mwenzangu yupo sebulen analia sababu bado sijajua cjui ni ukimya wangu au laah!
tutaendelea kufahamishana wajamani ndoa. ndoano
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)