mie aise mbona huwa siwezi hiyo mie
Nakumbuka siku moja tumegombana na mamsapu wangu ilikuwa mida ya mchana nikaamua kutimka zangu town nikarudi mida ya saa 12 hivi nikamkuta bado kanuna nikaona poa sio issue tukafika muda wa kulala bado tu kauchuna unajua nini kiliendelea?
Nikamwambia mi naona ipo haja ya kila mtu arudi kwa wazazi wake maana maisha ndoa humu ndani yametushinda ila kabla hatujaondoka tuwarudishe makwao hawa watoto wetu ndo na sie tuondoke gafla akaangua kicheko na kuniuliza hawa watoto kwao wapi? nikawamwambia hata mie sijui kwao wapi? Basi humo ndani ikawa ni full vicheko ........... mchezo ukaishia hapo