Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

mie aise mbona huwa siwezi hiyo mie
Nakumbuka siku moja tumegombana na mamsapu wangu ilikuwa mida ya mchana nikaamua kutimka zangu town nikarudi mida ya saa 12 hivi nikamkuta bado kanuna nikaona poa sio issue tukafika muda wa kulala bado tu kauchuna unajua nini kiliendelea?
Nikamwambia mi naona ipo haja ya kila mtu arudi kwa wazazi wake maana maisha ndoa humu ndani yametushinda ila kabla hatujaondoka tuwarudishe makwao hawa watoto wetu ndo na sie tuondoke gafla akaangua kicheko na kuniuliza hawa watoto kwao wapi? nikawamwambia hata mie sijui kwao wapi? Basi humo ndani ikawa ni full vicheko ........... mchezo ukaishia hapo
 
Kila binadamu ana mapungufu yake basi inapotokea kwa wanandoa kutozungumza kukaa kimya kwa jambao lolote hamna story,hamna salamu na mnaalala kitanda kimoja. Je, kwa kawaida hali hii inabidi kwenda kwa muda gani wiki 1 mbili au mwezi au miezi?


mi nshazoea inapita hata wiki mpaka wiki mbili..
akinuna nabembeleza nikiona bado anajinunisha namwambia akafie mbele...
Hapo labda unakuta kanuna nilikata kipande changu kikubwa cha parachichi au embe atanuna wee mpaka mwanae amwambie baba mbona unavimbisha sura..
 
na hawa wanaweza fikfisha muda huohuo......
Ila hawa hata msosi kila mtu kivyake........

Huyo mwanamke nae jeuri
Mie huwa napika kama kawaida.
siongei naingia kwenye suruali nachukua pesa naendelea na yangu
 
Binafsi siwez nuna zaid ya masaa 8

Tena kama nimenuna basi kuna kitu nimeomba kifanywe afu hakijafanywa na nimerudia mara kibao mpaka nachukia, na huduma sitoi au ikibid natoa kibubu bubu

Zaid ya hapo nitajikuta tu nimejiongelesha na kumwambia namna inavyokera, uzuri anaelewa na maisha yanaenda
 
kuna siku wife kanuna kama siku tatu hivi, usiku nikavizia nikapandisha nightdress ttaratiiibu nikaanza shughuli..ghafla naye kazinduka kaanza kujinyonga nyonga....nilimkata kibao cha makalio nikamwambia wewe si umenuna banaa....endelea kununu hivyo hivyo hakuna kukata!! Na nikimaliza na mie nanuna.... sikuwahi kuona jino la mwisho la wife akiwa anacheka lakini siku hiyo nililiona!!! Baada ya kumaliza hakuna aliyekumbuka!!
 
Kimsingi wanawake wana MIDOMO sana yaani kitu kidogo UTACHAMBWA/KUTUKANWA mpaka Bibi Mzaa BAbu usipomjibu ndo inafuata minuno Reja reja/mwanzo-mwisho. Dawa we mwanaume mpotezee wala usiongee nae, muone mjinga tu, endelea na yako
 
Mkimaliza nitatoe hitimisho la mada hii kwani dawa yaooooo........................
 
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.

Binafsi nimesha experiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba.

Hapo mimi huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE.

Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?


hakuna kitu napata shida kama kununa jaman!

nikinuniwa tu sikumoja napungua kg 3! iwe wiki tatu si nakufa mimi!

hata unikosee nini kwenye kununa hapo umenikosa! ntaliaaaaa nikifuta machoz ndo yameisha nakuwa normal had mwenyewe unaogopa tena normal ki ukwel sio igiza!

mtu aliwah nishtak kwao
eti nimemkosea lakn hajakasirika!
hahahaaaa mi mbavu sina
 
Nunu nunu ndiyo siraha kubwa ya mwanamke wala usije kufikiria una bahati mbaya. Ni wanawake wengine katika ndoa wako hivyo.

Kikubwa,ni akinuna wewe endelea na maisha kama vile huioni hiyo nuna yake. Ila ikifika wakati wa kutimiza wajibu wa ndoa wewe dai haki yako mkimaliza mwambie aendelee na mpango wake wa kununa
 
daah leo nimepata mengi sana hapa, niwashukuruni sana wote mulochangia mada hii kwa busara za hali yajuu sana ukiachilia wachache mloleta maneno mbofumbofu! bado nipo naendelea fuatilia uzi huu elimishi kwangu kweli nimejifunza!!!
leo hii namimi ni mhanga kwa hili yaani tangu j2 ilopita had leo j2 hali ni tete mtu amenuna n'a chakula hakupikwi basi mm nimejitahid kua kimya coz kila nikibembeleza moto unazidi, nikitoka kazni hua nakula njian nikifika naoga nalala zangu, leo hapa nimelala nasoma jf lakin mwenzangu yupo sebulen analia sababu bado sijajua cjui ni ukimya wangu au laah!

tutaendelea kufahamishana wajamani ndoa. ndoano

unaonaje ukimfuata ukamuuliza Analia nini?
mie nimetoka zangu najichapia kilevi safi,
narudi nyumbani nakuta sendo za mdada afu mtu kajinunisha nikimuuliza anajibu ndyo,hapana..
nikaona ngoja nikaboost akili nikirudi atatoka yeye ama nitoke Mimi.
 
Asanteni wadau nimejifunza mengi hapa, Zaid kwa WADADA wengi wana MAKELELE/ Kuongea sana ndo silaha yao kuu, Wakati wanaume hufanya kwa VITENDO ikiwemo VIBAO/MAKOFI/NGUMI. Ushauri ni kuwa wote tunapaswa kubebeana mizigo na kuwa na moyo mwepesi wa kumsamehe mwenzio kwenye hitilafu
 
Dawa ya ugomvi ni kujidai wewe mjinga!! kukubali yote na kuwa mwepesi kuomba msamaha hasa upande wa wanaume!! maana kwa namna yoyote huwezi kushindana na mwanamke kwa MANENO
 
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)

Naunga mkono hoja kwa asilimia mia na hamsini.
 
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)

hahahaaaaa.......ngumu kumesa......hapo kaka usiguse....mimi ni muathirika......
 
Dawa yake ni kupigana kavu..mimmwenyewe last week nilinuniwa yaani ile kupiga kavu tu vicheko vya bashasha mpaka leo
 
Back
Top Bottom