Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili


Hivi wewe??? kwenye ndoa ajishushe mwanamke au mwanaume?

Ni ujinga uliotukuka eti mwanaume ajishushe kwa mwanamke bila sababu, ok

well, kimsingi mwanamke anawekwa ndani na mwanaume, mke hajiweki mwenyewe ndan ya ndoa, kama sijiamini sinamsimamo na akili za maisha, ndio yanapokuja maneno yenu eti nijishushe! So what!!

Kwa hiyo ananinanihii au namnanihii?

Tabia za kimachame naziona kwa majirani nazichikia sana. mke wangu ni msomi anakazi na mshahara, anafwata maelekezo yangu.

Anajua sipendi kumtawala, wkt mwngine namweleza ajitawale mwenyewe mm namuassess tu.

namshaur mleta uzi, kila kitu wewe ndio mwalimu, kwa kuwa mlioana wote hamjuani tabia, wewe nde mwl wake, utamharibu au kumtengeneza.

mwanamke lazima afate mashart na utaratibu ndan ya nyumba. na ndo mana nyumba zina milango, ni mipaka ya taratibu ya kila ndoa, sio lazima nyumbn kwngu sheria zifanane, mm naheshimiwa mtaani kw taratibu za ndoa yangu.

mke kaja kujifunza sheria za mume, hajaja kujiunga na mume, anatakiwa atii, awe mpole kwa mumewe ili mume amuonee huruma mkewe.

Kama mke atataka ukingi ndan ya nyumba huo ni upuuzi kwa sabb atakuzalia watoto na utalea watoto wa michepuko

wanaume wengi hawataki kuoa wanawake kama ni wapenda utawala ndan ya ndoa ni kwamba madem hawo watabaki kuwa manunga embe kama ral1 wa jf
 
wanawake wengi wanaongea sana, yaani itokee mmetofautiana kidogo UTACHAMBWA mpaka BIBI yako MZAA BABU> wanawake kwa kweli mnaboa
 
Hapa hujasomeka vizuri! Una maana gani unaposhauri mwanaume ajishushe hata anapokosewa na mtani wa jadi?
 

Akifanya makosa muonyeshe kwa njia yoyote kuwa umeligundua kosa lake bila kumwambia kwa maneno..ikibidi kutumia maneno basi isiwe sentensi ndeefu...just unamwambia "wife umekosea hivi na hivi"..tena unamwambia huku unamove sio ukae kama mnajadili

Akikukasirisha makusudi, ile anabwabwaja mbele yako we mtafutie kijitabasamu fulani kinachoishia mdomoni lakini hakifiki kwenye macho..na usimjibu.

Ukimuona yupo kwenye foul mood we mtreat kama vile she doesnt exist..endelea na mchakato wako..akikufuatafuata mpishe kidoogo uende sehemu nyingine..garden, sebuleni, chumbani..nk

Yaani nakwambia the most effective way to get at a woman ni kuact kinyume na matarajio yake na kumuignore
 
dawa kubwa kushinda zote ni KUMPA DUSHELELE mwanzo-mwisho
 
Natumai tuu wazima wana MMU...baada ya kupata lunch hebu tuidadavue hii topic kipi bora kati ya Gubu na Kununa katika Ndoa au maisha ya Unyumba?

Karibuni!!!👏👏
 
eee pamekucha!!!!

kuitana baba nanii au mama nanii inahusu???, kuitana majina yetu au majina mbadala inapendeza.

kuhusu kununa mnataka tufanye nini?? lijitu jingine kila siku linakosea na kuomba msamaha, kujirekebisha hakuna, inatia hasira

Achana Nalo...
 

They will end UP on cactus,....
 
Mwanamke lazima awe chini iwe isiwe na kutafuta mbinu za kuweza kusikilizana na mumewe. Huku kutaka wote kuwa juu ndio kunakosababisha ndoa ziwe na matatizo

Avatar nzuri,hekima tele,..umejaliwa mdada!...
 

Tiririkaaa...
 

Akiona amefanikiwa kukupanda kichwani atamtafuta mwanaume aliye juu yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…