mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Ewe mwanaume jishushe hata kama kosa ni lake mwanamke hayo mambo yaishe tu kwa wakati huo. Wanawake by nature ni wakarimu na wapole bali ikifika maeneo hayo hujidai hamnazo. Tunapaswa kuishi na wanawake kwa akili na si kwa mabavu. Jishushe (mwanaume) maisha yaendelee lakini ujue kichwani hapo unakaa na hamnazo so hata ishu zako za muhimu piga kimya kimya usimshirikishe
Hivi wewe??? kwenye ndoa ajishushe mwanamke au mwanaume?
Ni ujinga uliotukuka eti mwanaume ajishushe kwa mwanamke bila sababu, ok
well, kimsingi mwanamke anawekwa ndani na mwanaume, mke hajiweki mwenyewe ndan ya ndoa, kama sijiamini sinamsimamo na akili za maisha, ndio yanapokuja maneno yenu eti nijishushe! So what!!
Kwa hiyo ananinanihii au namnanihii?
Tabia za kimachame naziona kwa majirani nazichikia sana. mke wangu ni msomi anakazi na mshahara, anafwata maelekezo yangu.
Anajua sipendi kumtawala, wkt mwngine namweleza ajitawale mwenyewe mm namuassess tu.
namshaur mleta uzi, kila kitu wewe ndio mwalimu, kwa kuwa mlioana wote hamjuani tabia, wewe nde mwl wake, utamharibu au kumtengeneza.
mwanamke lazima afate mashart na utaratibu ndan ya nyumba. na ndo mana nyumba zina milango, ni mipaka ya taratibu ya kila ndoa, sio lazima nyumbn kwngu sheria zifanane, mm naheshimiwa mtaani kw taratibu za ndoa yangu.
mke kaja kujifunza sheria za mume, hajaja kujiunga na mume, anatakiwa atii, awe mpole kwa mumewe ili mume amuonee huruma mkewe.
Kama mke atataka ukingi ndan ya nyumba huo ni upuuzi kwa sabb atakuzalia watoto na utalea watoto wa michepuko
wanaume wengi hawataki kuoa wanawake kama ni wapenda utawala ndan ya ndoa ni kwamba madem hawo watabaki kuwa manunga embe kama ral1 wa jf