Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Ili ndoa iwe sawa ni lazima wanandoa kulala wakiwa hawana kinyongo wala hasira hivyo basi kama kuna ugomvi ni lazima kuusuluhisha kabla hamjaiona siku mpya
 
Kimaandiko hutakiwi kulala na chuki mpaka asubuh kunakucha, mkikwazana zungumzeni peaneni makavu kisha mnasameheana.
Una akili sana ww lazima mume wako atakuwa amelamba joka sio galasa, kama hujaolewa basi mumeo mtarajiwa bahati inamsubiri.
 
Kwa mtu mnaependana hata kama sio mke wala mume kununiana ipite siku ni ngumu sana yani haiji tokea kabanga
 
Last edited by a moderator:
Mafahari wawili hawakai zizi moja.. Kwa hiyo hata kudo wanaandikiana kuwa nina genye kisha wanado wakimaliza tena wanaandikana asante au inakuwaje?? Dah... Sipati picha

Kumbe nawe ni miongoni watoao aksante baada ya makunuzi..... Umenigusa.
 
Kwenye upendo wa kweli wapendanao huvumiliana, huheshemiana na kuthaminiana na kujenga muunganiko wa ndoa yenye furaha na amani tele kwa tele....kinyume na hapo ni majuto na maumivu ndani ya ndoa....
 
Kuna siku nilimkorofisha mamaa sasa usiku nikamuomba mchezo.aisee alikuja kuniambia hakuna siku alijisikia raha kama siku hiyo. Nilishangaa sana.
 
Inaitwa " silent treatment " it's a type of emotional abuse .She is bordeline.
 
Huwa nakubaliana kwamba ndoa ndio shule ngumu sana kufaulu,na ndio maana unapewa cheti chake kwanza'halafu mitihani yake unaikabili baadae,la sivyo laiti ingeanza mitihani wengi tungetoroka shule na ni wachache sana wangefaulu na kupata cheti.

Jitahidi kuvumilia kwani unaweza kubadili shule zote but ugumu wa somo ni uleule,kuwa mvumilivu na msipende kununiana kuna madhara makubwa sana katika mahusiano.
 
Kuna siku nilimkorofisha mamaa sasa usiku nikamuomba mchezo.aisee alikuja kuniambia hakuna siku alijisikia raha kama siku hiyo. Nilishangaa sana.

Katika Movie ya "Why did I get married" jamaa anasema mke wake anapenda wagombae Coz love making inakuwa Amazing baada ya mnuno na ugomvi...
 
Hakikisha kila mmoja analala kitanda chake mpaka pale tamaa itakaporudi hapo mtasemeshana
 
Nimesha olewa mkuu. lazima tukubali kila mmoja anamapungufu yake kikubwa ni kusameheana hata malaika wema watawatembelea kuwabariki, sasa mkinuni ana akipita atakuta giza hakuna nuru tena apo.
Una akili sana ww lazima mume wako atakuwa amelamba joka sio galasa, kama hujaolewa basi mumeo mtarajiwa bahati inamsubiri.
 
mengine yanakera bwana, ukiweza piga hata wiki yakiisha maumivu yako na akaeleweka au kujirudi samehe, tok again. ni unafiki kujiongelesha wakati moyo wako bado una majeraha ya ndani na mwenzio haonyeshi hata kujutia.
 
Hapana yanakua ya kistaarabu onaongea nae kwa hekima lakini unampa ukweli, sio unaongea nae makelele mpaka nyumba ya pili wanasikia no, taratibu, ukinyamaza unafungua account ya mawazo ndani ya moyo mwisho wa siku unakua na maamuzi mabaya utamuesabia sana. Maandiko yanasema wala usimpe ibilisi nafasi, tena ukimaliza unatupia nakadua mambo poa kabisa.
Hapo kwenye kupeana makavu ndio pabaya,mi naona km ndio yataongeza mchuniano zaidi..
 
Back
Top Bottom